wanajf wa musoma mpoo?

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,254
12,871
za jion wapendwa katika jamvi hili. jumamosi jioni nitakuwa musoma kwa wale wanajf wa pande hzo naomba kampani yenu.
N.B. Sipendi kujuana sana, kama utaweza kuja nitakapokuelekeza nifahamu km charminglady not otherwise. masuala ya wewe wafanya nini,jina lako,makazi n.k ctaki. . . . .
 
Kama ntakata shauri nije , vipi kuhusu vinywaji utaratibu ?
Au unatukaribisha kuangalia Tv , talks ect
 
za jion wapendwa katika jamvi hili. jumamosi jioni nitakuwa musoma kwa wale wanajf wa pande hzo naomba kampani yenu.
N.B. Sipendi kujuana sana, kama utaweza kuja nitakapokuelekeza nifahamu km charminglady not otherwise. masuala ya wewe wafanya nini,jina lako,makazi n.k ctaki. . . . .

Tupo tupo kabisa na tunaendelea kuwepo kidumu chama cha mapinduzi
 
za jion wapendwa katika jamvi hili. jumamosi jioni nitakuwa musoma kwa wale wanajf wa pande hzo naomba kampani yenu.
N.B. Sipendi kujuana sana, kama utaweza kuja nitakapokuelekeza nifahamu km charminglady not otherwise. masuala ya wewe wafanya nini,jina lako,makazi n.k ctaki. . . . .

Hatimaye umeamua kuja anga zangu....m ur official host
 
as i told u sobhuza is no longer my hezbend nimeona bora nkufate. . . je nakaribishwa?
 
charminglady uwe makini hasa mitaa ya Mkendo na Mwisenge kuna vibaka hapo. Halafu watu wasioijua Musoma huchanganya na Mkoa wa Mara.........hata akienda Tarime,Bunda,Serengeti au Butiama anasema Musoma,..wewe ni mmoja wao?
 
Last edited by a moderator:

me musoma napajua kuliko unavofikiria! so wory out. . . .
 
Last edited by a moderator:
oh,bahati mbaya sifiki Tarime. asante kwa kujali next time mkuu Kingmairo
 
Last edited by a moderator:
haya haya wanajf wa musoma am on mai wei. . . . M'Jr ndo nakuja hvo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom