wanajf wa musoma mpoo?

mkuu mimi nipo huku kyamakorere. nina mpango wa kuja majengo mchana. je ntakukuta? vipi unakunywa kilaji? umekuja single? Mia
 
nimemsikia, hana jipya hyo kidume gan anaogopa wagen? mwaya we furah km vp tutangaze ndoa maana maisha ya uke wenza yananisha. leo cku ya tatu sijamwona Saint Ivuga kabanwa kwa bi mkubwa CUTE
 
Last edited by a moderator:

musoma hipi charminglady coz musoma ni kubwa,,makoko,mwisenge kamunyonge,,,,etc..
 
nimemsikia, hana jipya hyo kidume gan anaogopa wagen? mwaya we furah km vp tutangaze ndoa maana maisha ya uke wenza yananisha. leo cku ya tatu sijamwona Saint Ivuga kabanwa kwa bi mkubwa CUTE
hahhaha jamani mke mwenza vipi tena mvumilivu hula mbivu jamani mana hukuSaint Ivuga nguo ndio nimeziloweka leo siku ya nne sijazitoa ktk maji mgongo waniuma siwez fua siku za karibuni may be wiki ijayo vumilia tu mpz
 
za jion wapendwa katika jamvi hili. jumamosi jioni nitakuwa musoma kwa wale wanajf wa pande hzo naomba kampani yenu.
N.B. Sipendi kujuana sana, kama utaweza kuja nitakapokuelekeza nifahamu km charminglady not otherwise. masuala ya wewe wafanya nini,jina lako,makazi n.k ctaki. . . . .
charminglady niletee samaki huko mpz mana nasikia kuna mijisamaki ya kufa mtu
 
oh,pole. nlikuja nikachuniwa so nimeshaondoka!

dah!..inaniuma sana. ningekupata wewe ningejiita mwenye bahati. Hii thread yako nimeiona leo asubuhi. so umesha ondoka umeelekea wapi? kwani wewe makazi yako ni wapi? funguka mkuu. ntakutafuta kwa hali na mali hata kama miaka miwili ikiisha. Mia
 
Back
Top Bottom