Busa ni kugonwa hicho ni kizenjKizanzibari hicho Yakheee!
Hakiwez kua kitendo cha kigaidi bali kinaweza kua cha kihuni. maana hyo gari ilipita moto bati na wanajeshi walukua wametanda njiani wakiwa wanakimbia mchaka mchaka. sasa sielewi kama jamaa alihisi atakua na control au vipi. Ila pia huenda mshaki alikumbia kwa usalama wake maana majeshi wangemshika unafkiri nini kingetokea?????tz bwana.
utasikia eti ni kitendo cha kigaidi hivyo tataomba FBI waje wachunguze au iundwe TUME
hiyo ni traffic case jamani.
poleni wahanga - wapiganaji wetu.
R.P.I. makandatz bwana.
utasikia eti ni kitendo cha kigaidi hivyo tataomba FBI waje wachunguze au iundwe TUME
hiyo ni traffic case jamani.
poleni wahanga - wapiganaji wetu.