Wanajeshi wapata ajali Zanzibar leo asubuhi

semtema

Member
Oct 19, 2012
52
13
Kila siku asubuhi vikosi vya JWTZ hapa zanzibar hufanya mazoez ya kukimbia (mchaka mchaka) kutoka kambi ya Bavuai ilioko maeneo ya migombani hadi Chukwani. kwabahati mbaya leo asubuhi wakati wapo katika zoez hilo la kukimbia katika Barabara ya kuelekea AIR PORT kijana 1 akiwa anaendesha gari aina ya NOAH aliwapiga busa majeshi wapatao 10 waliokuepo kwenye mchaka mchaka huo. wapo waliofariki papo hapo na wapo waliopata majeruhi makubwa na wamesafirishwa Tanzania Bara kwa matibabu.
Dereva wa gari hiyo aliweza kukimbia na gari yake lakini alipofika katika kona ilipinduka ila dereva alitoka na kukimbia mbio. MUNGU AWAPE BARAKA WOTE WALIOKUTWA NA MTIHANI HUO.
 
Hizi lugha za kipembapemba humu ndani hata maana ya habari yenyewe inakuwa hovyo...eleza kwa lugha inayoeleweka tukuelewe...Busa ni nini sasa?
 
tz bwana.
utasikia eti ni kitendo cha kigaidi hivyo tataomba FBI waje wachunguze au iundwe TUME
hiyo ni traffic case jamani.
poleni wahanga - wapiganaji wetu.
 
Back
Top Bottom