wanajeshi (marines) wa Urusi wakionyesha manjonjo yao leo (NAVY DAY)

Mkuu haziishi hamu ya kutazama.

kilo2_web.jpg

project636.jpg

jgeivbkm.JPG

11356-fot-3_web.jpg

11356-fot_web.jpg
 
Mkuu Saint Ivuga, hiyo NAVY DAY ni ya dunia nzima? Mbona hapa bongo hata sijasikia kitu.
Hapa bongo tuna Politic days ambapo utaona VX 8, VX, JEEP za kifahari za kila aina. Jaribu kuhudhuria uwanja wa taifa au kuangalia Runinga yako kawenye kila iitwayo Maadhimisho au shughuli ya kitaifa utaona vifaa vya uhakika.
 
1.jpg

USALAMA.JPG
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Mkuu Saint Ivuga Tangu ulipokuwa SAINT unado the needful kwa wana JF ahsante sana ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:
@Saint Ivuga Baaaaaaaaaaaaasiiiiiiiiiiii. Haziishi hamu usifanye kesho nikachelewa kazini bure kwa kuziangalia lakini ile ya uwanja wa taifa imeharibu mchuziiiiiii.
 
Back
Top Bottom