wanajeshi (marines) wa Urusi wakionyesha manjonjo yao leo (NAVY DAY)

wanajeshi wa kikwelikweli sio wanajeshi wanachukua wake za watu wakizuiwa wanachukuana wanakuja mtaani kufunga mtaa halafu wakisikia mlio wa puto wanazama mtaroni.
 
madude kama haya tuyapeleke kule ziwa nyasa wanakong'ang'ania mpaka!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Namshauri mkuu wetu tujipime nao mechi ya kirafiki c interijensia wetu wako vizuri kuzuia maandamano ya haki. Tucheze nao japo wiki kucheki ubavu wetu c tnajicfu kagera.
 
SISI ASKARI WANAFANYA BIASHARA YA MATREKTA KWA MGONGO WA kIlImO kWaNzA!, Uchafu tu! CAG Please check this black business.
 
Back
Top Bottom