Wanajamii, msaada tafadhali!!!

HOYANGA

Senior Member
Jun 9, 2011
187
26
Naomba msaada wa kujua mahala ambapo hivi vyuo vilipo hapa dar, nikiwa naanzi safari kutokea ubungo!??? Institute of social work na institute of tax administration
 
Tembea toka stend ya mabasi ubungo mpaka sheklango ,panda mabasi ya mwenge,shuka ongera bar .pembeni ya ongera bar kushoto ndipo chuo cha ustawi wa jamii.ukitaka enda chuo cha tax(tra) tembea mpaka kituo cha daladala cha itv,then apo kulia utaona bango la chuo cha tax.fuata maelekezo,chuo kipo baada ya itv
 
asante sana mkuu!!! usiku mwema!!!
 
Back
Top Bottom