zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,831
- 8,621
nime'like kwa uchungu huku nikiinamisha kichwa chini kwa aibu maana nimetumia keyboard kama wewe ulivyofanya, mimi na wewe tunatia aibu taifa letu. (tahadhari, mipango mibovu ya maandamano ndo sababu ya kuchelewesha ukombozi wetu)Hawa akina mama watu wazima, sawa kabisa na wazazi wetu wanafanikiwa kudai haki kwa vitendo, wakati sisi humu tunashindania ubingwa ku-type hoja kwenye keyboards tu. Laiti maneno tunayoandika humu yangekuwa matendo, kungekuwa na nguvu mara kumi ya waliyoionyesha hawa kinamama.
Ni kweli hii ni "The Home of Great Thinkers"? Fikra tupu bila vitendo! Changamoto kwetu hiyo jama!