Wanafunzi wa kike wanapomtongoza mwalimu wa kiume

Mshirikishe Mzazi au Mlezi wake kabla hujamtovuga jicho kuepuka kuitwa Mchochezi wa Mimba za Umri mdogo
 
Naguna mtoto wa kike tena mwanafunzi kumtongoza mwalimu,Mara nyingi huwa kinyume chake
 
Kwa wale Teachers na wengine shaurianeni ni hatua zipi tuchukue pindi mwanafunzi wako anapo kuapproch maana hizi ni mojawapo ya changamoto zenu...!
7f14903fcf3d5484affd149c6daab8f9.jpg
Kwa hiyo hapo ndio kusema mwl. Kapatwa Na mwanafunzi au imekaaje?
 
Umbali kati ya mwl na wanafunzi anauweka mwalimu ingawa uongozi wa taasisi na mahusiano yake na wazazi na jamii unahitajika.

Walimu wa kiume mjitahidi kupata watoto wenu na muwalee, nayo hufunza kuheshimu watoto wa wenzio
 
Nilidhani kutongoza walimu wanafanya wanafunzi wa sekondari tu. Nimeshangaa kusikia hata primary wanafanya.


Mimi nina taaluma ya ualimu na kwa uzoefu wangu wa kazi hiyo nina hakika hii

UKIONA MWANAFUNZI AMEKUTONGOZA BASI FAHAMU KUWA WEWE NI MWALIMU AMBAYE UPO CHINI KABISA KATIKA MISINGI YA TAALUMA YAKO
Hiyo ni kiashishiria kwamba wewe si mwalimu unayejua kazi yako vema

Nakumbuka ilikuwa mwaka fulani nilifundisha shule ya msingi moja jijini Dar es Salaam
enzi hizo bado kijana sana watoto wa kike walionesha kupenda sana uwepo wangu karibu yao lakini daima nilisimamia misingi ya kazi yangu na nilikuwa ninaadhibu pale wanafunzi wanapokosea bila kujali wana hisia gani juu yangu hahaha baada ya muda wa majuma mawili wanafunzi walikuwa washaelewa huyu jamaa yupo kikazi zaidi so kilichofuatia hapo ilikuwa ni kunipenda katika suala la kujifunza (kimasomo) tu not otherwise na km ningelegea tu nikawa mwepesi kuzipa nafasi nyendo zao zilizoonesha walikuwa wanaelekea kwenye mazoea mabovu lazima wangeniambia wazi wanataka nini kwangu

Hivyo mwl jifunze kuwa makini wakati wote ukiheshimu misingi ya kazi yako wala hutoona ujingq huo wa kutongozwa na wanafunzi
Na haya huwakuta walimu walioendekeza usela mbele kuliko taaluma yao
 
Jamaa angu Ni mwalimu shule fln Happ singida ila kwa Sasa hayupo alikuwa anawachakata kuchakata kunzia darasa la tano
 
Nimefundisha sec ya private na ilikuaa nawasichan wengi tu sijawai chakata mwanafunz wangu ila nilivyo acha hyo Kaz nilikuja kukutana na wale wanafunz mtaani. Cha Moto niliwapelekea haswa
 
Nimefundisha sec ya private na ilikuaa nawasichan wengi tu sijawai chakata mwanafunz wangu ila nilivyo acha hyo Kaz nilikuja kukutana na wale wanafunz mtaani. Cha Moto niliwapelekea haswa
Ahahaaa uliwala kisomi
 
Back
Top Bottom