Wanafunzi udsm mabibo hostel wasomea kwenye taa za barabarani mandela road

Mugizi1

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
478
142
Wakati wanafunzi wa udsm wakiendelea na mitihani yao,jana usiku wamezua mpya baada ya umeme kukatika.baadhi ya wanafunzi waliamua kubeba desa zao na kwenda kwenye taa za barabani kupiga shule ili kujiandaa na mitihani ya leo.source{ my eyes}
 
you are not serious!
 
Ulevi ni kitu kibaya sana! Bila shaka ulikuwa umevaa miwani
 
Wakati wanafunzi wa udsm wakiendelea na mitihani yao,jana usiku wamezua mpya baada ya umeme kukatika.baadhi ya wanafunzi waliamua kubeba desa zao na kwenda kwenye taa za barabani kupiga shule ili kujiandaa na mitihani ya leo.source{ my eyes}
kwahiyo? hii nayo ni habari muhimu kwa mtazamo wako eti? kuwa makini dogo!!
 
unafanya mchezo na disco nin...? Taa za barabarani lazima zihusu mazee! Teh teh teh, wakifkiria kuna ishu kama hiyo,wapo tyr hata kusomea vibatari!
 
kwahiyo? hii nayo ni habari muhimu kwa mtazamo wako eti? kuwa makini dogo!!
huyu alikosa k2 cha kupost ndo akaamua kukurupuka 2,sa hata 2kipgia msuli barabaran ye inamhusu nin kama sio umbea!
 
Someni acheni kuzima moto.mlidhani mlikwenda UDSM kuuza sura?na bado mtasomda hadi kwenye mataa ubungo!
 
kajifunze kuandika vizuri lugha yako ya taifa, baada ya hilo urudi kupost.....''''MTASOMDA'''' WTF
 
Back
Top Bottom