Wanafunzi jihadharini na huyu tapeli!!!

Chacha Neema

Member
Oct 12, 2012
6
12
[h=2]kuna jamaa mmoja hapa mjini anaitwa deus torani huyu jamaa amekua akichukua fedha za wanafunzi wanaotarajia kwenda chuo hasa kwa wale waliokosa mkopo kuwa atawafanyia mpango majina yao yatoke kwenye second batch. Lakini napenda kuwaatahadharisha huyu mtu hafanyi kazi hapa bodi wala hafahamiki ofisini kwetu, ila aliwahi kufanya kazi kwenye ofisi ya tirdo iliyopo karibu na helsb. Na namba anazotumia ni 0716 28 67 42[/h]

na hizi ndo picha zake
 
Attachments

  • 303749_1999361744749_568636214_n.jpg
    303749_1999361744749_568636214_n.jpg
    69 KB · Views: 189
Yaan wewe ni nan?msemaji wa bodi?kwa nn msitoe kwenye vyombo vya habar usije ukawa mna beef personal umeamua kumdhalilisha anyways asante kwa taarifa itawasaidia vijana wetu kama ni kweli.
 
Yaan wewe ni nan?msemaji wa bodi?kwa nn msitoe kwenye vyombo vya habar usije ukawa mna beef personal umeamua kumdhalilisha anyways asante kwa taarifa itawasaidia vijana wetu kama ni kweli.

jamaa aliyetoa taarifa hajafanya jambo baya,,,,mbona unakosa busara mdau,unadhan taarifa akizipeleka polisi wewe utazipata???na je kama ashazipeleka???huu ni mtandao wa kijamii na kwakua wewe umesoma basi utawaambia na wengine,,,,,,,,,,simple logic
 
Kuna kipindi Zembwela alishawahi kutoa wizi wa namna hii kwenye supamixx watu hawajifunzi tu? Huyu jamaa ni wa kufatiliwa kama kuna watu alishawachukulia hela wamkamate wamfungulie mashtaka kwa utapeli.

dawa ya tapeli ni kutapeli maisha na roho yake zaidi hapo hakuna kesi hapo kwani hela waliowengi walimfuata wenyewe sasa dawa yake ni kumlostisha tu..
 
huyu jamaa ukiangalia kwenye kurasa zake za Facebook then utakuta amejiandika ni Chief Procurement officer wa Ocean Roads, swala ambalo si kweli, hivyo yeye kazi yake ni kula kwa kutapeli tangu afukuzwe kazi.
 
itapendeza kama taarifa zitawafikia na polisi (kama bado) na vyuoni napicha zake zibandikwe kwenye mbao za matangazo kila chuo! Pambafu zake!
polisi gani hao unaowazungumzia hawa majambazi suguna wauwajiau ni bora jf kuliko huko
 
Kumbe mabazazi bado yapo mpaka sasa?
Nadhani kuna umuhimu wa HESLB kufanya utafiti yakinifu na kuitoa kwenye vyombo vya habari mapema. Najua taarifa hii inasaidia hapa forum ila sio wengi wenye access na forum Tanzania hii. Na hili ni jambo nyeti sana kwenye kizazi chetu hiki tunachojitahidi kukifikishia elimu ya juu kila kona ya Tanzania. Think of the victims and the would-be-victims from this bazazi.
My 2 cents.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huyu kama amekutapeli dawa yake unamloga tu...au unamtoa busha tu lazima akurudishie hela yako!!!
 
Yaan wewe ni nan?msemaji wa bodi?kwa nn msitoe kwenye vyombo vya habar usije ukawa mna beef personal umeamua kumdhalilisha anyways asante kwa taarifa itawasaidia vijana wetu kama ni kweli.

Akili nyingine hizi muwe mnazificha zisiwaaibishe.

Kwani kama ofisi haikufanya kazi yake, kuna kitu kinamzuia individual kuwasaidia wenzake? We ulitaka awe nani ndio aweze kuwanusuru wanaohangaika?

Mimi sisemi kwamba tumuamini aliyeweka bango hapa, lkn ametupa nafasi ya kuchunguza mambo na kujiuliza mara mbili kabla hatujaingia mkenge. Shida iko wapi ukikuta si kweli?
 
chacha waambie vijana ni lini mtatoa second batch ya mikopo,watu hawajaenda vyuoni wanawasubilini,wape msaada wa taarifa kaka
 
huyu kama amekutapeli dawa yake unamloga tu...au unamtoa busha tu lazima akurudishie hela yako!!!

nani kakwambia kuna uchawi duniani? Nenda kwa mganga naye akutapeli, ufanyiwe Double-Trick-Trial (DTT) ya kijipesa chako. Cha muhim jamaa atafutwe, coz picha zake hzo hapo, ni ni mwananchi, wapo wanaoishi naye mtaa mmoja, watoe ushirikiano jamaa akamatwe then hatua za kumlipa kwa MEMA yake kwa wanafunzi zifuatwe
 
HESLB semeni WAZI kama kuna kitu kinaitwa SECOND BATCH maana sisi tuliokosa mikopo tuko tayari kufanya lolote ili tu tupate mikopo, na huyu tapeli ametumia upenyo huo unaoitwa SECOND BATCH kutapeli. HESLB BE OPEN la sivyo mtasababisha watu wauane mitaani. MTUNDU KISU< NA VICTOR KISANGA MNASEMAJE HAPO?
 
jamaa aliyetoa taarifa hajafanya jambo baya,,,,mbona unakosa busara mdau,unadhan taarifa akizipeleka polisi wewe utazipata???na je kama ashazipeleka???huu ni mtandao wa kijamii na kwakua wewe umesoma basi utawaambia na wengine,,,,,,,,,,simple logic

asante mkuu! Tukiongea wote 2takua tunawahalbia watu concetration on such crucial report!
 
Back
Top Bottom