Wanafunzi CBE Dar wagombea chips dume au mihogo

Hii tabia ya ku group watu kwa muonekano inapelekea ufinyu wa fikra na uelewa.

Sio kila anayependeza ni stistaduu au brotherduu.

Kuna ambao wanakula mihogo na wamependeza na hawana hiyo tabia ya kujifanya levels zingine wakiwa public.

Pia kula mihogo kuna tatizo hakuna tatizo. Unaweza ukaenda hapo ukaanza kuwasema na ku group watu pamoja na wengine ambao hawana hiyo sifa uliyoitaja ukazidi kujiongezea dhambi na bad karma wewe mwenyewe.

Sometimes tuachane na maisha ya watu na kufuata maisha yako binafsi.

Oy CBE mpeni hai mchizi wangu mmoja hapo anaitwa Billnass aka billnenga ka vp
 
Kuna mama mmoja anauza mihogo ya kukaanga hapa CBE Dar nje ikifika saa 12 hadi moja moja flani hivi jioni.

Amekuwa msaada mkubwa sana kwa kweli hasa kwa wadada warembo wa CBE, utakuta sister du mkali anachukua vipande vyake vitatu anakaa pembeni anagonga na fursana yake moja anatulia.

Subirini wakija kwenu huko wanataka kuku na misoseji, huku wanagonga tu mihogo, nashauri kama una mtu wako CBE jioni we mtembelee tu jioni kati ya SAA 12 na SAA moja nje geti la pili kama unatoka mahakama ya Kisutu utaona.
Tatizo liko wapi hapo mkuu,huku dodoma wadada wa chuo cha Mipango na Madini ni kawaida yao mihogo na chai kila siku,yaani mihogo inaliwa kuliko msosi mwingine ule kwa asubuhi ,Jioni sijawahi ona
 
Kuna mama mmoja anauza mihogo ya kukaanga hapa CBE Dar nje ikifika saa 12 hadi moja moja flani hivi jioni.

Amekuwa msaada mkubwa sana kwa kweli hasa kwa wadada warembo wa CBE, utakuta sister du mkali anachukua vipande vyake vitatu anakaa pembeni anagonga na fursana yake moja anatulia.

Subirini wakija kwenu huko wanataka kuku na misoseji, huku wanagonga tu mihogo, nashauri kama una mtu wako CBE jioni we mtembelee tu jioni kati ya SAA 12 na SAA moja nje geti la pili kama unatoka mahakama ya Kisutu utaona.
Hata CBE ya dom yupo mama mmoja umbali wa kama mita 300 katka kota za national housing anapikaga mihogo,basi hapo ndo kimbilio la raia ,ila masister duu wanakujaga na mabakuli wanawekewa wanaenda kulia mageton kwao,,ila kwa wale wagumu ndo wanaliaga palepale,,,
 
Wakila chips mnasema wanaume wa dar... wakila mihogo mnasema mabrazameni wanakula mihogo... we uliyeleta huu uzi ni mwanaume wa dar haswaaaaa maana unaonekana mdakumdaku.
 
Mbona mie nilisoma NIT na nilikuwa nakula Mihogo na watoto wa wakubwa kawaida tu.

Ingekuwa mihogo hiyo wanapika wenyewe au wanaomba,hapo sawa.Mihogo ni chakula tu cha kawaida na chakula Pendwa na mie ni mdau mmoja wapo.

Huyo unaemuona anakula hapo kuna siku ndio unakuta ni mheshimiwa fulani.Sio kila mtoto wa kiongozi mkuu basi anakula vizuri,suala la chakula hata majumbani kwetu ukiingia watu wanakula kawaida sana tu.
Ni sawa na ukienda Singida kule,watu maskini ila wanakula kuku mwenye hadhi kulika mtu anaekaa Oysterbay kwa kula kukuboy na chips mvimbo.

Kwa jiji la Dar,ni bora yule aanekula mihogo na kachumbari kuliko anaekula Chips kuku au chips mayai.
 
Kuna mama mmoja anauza mihogo ya kukaanga hapa CBE Dar nje ikifika saa 12 hadi moja moja flani hivi jioni.

Amekuwa msaada mkubwa sana kwa kweli hasa kwa wadada warembo wa CBE, utakuta sister du mkali anachukua vipande vyake vitatu anakaa pembeni anagonga na fursana yake moja anatulia.

Subirini wakija kwenu huko wanataka kuku na misoseji, huku wanagonga tu mihogo, nashauri kama una mtu wako CBE jioni we mtembelee tu jioni kati ya SAA 12 na SAA moja nje geti la pili kama unatoka mahakama ya Kisutu utaona.

WEKA PICHA KWANZA!
 
Back
Top Bottom