wakusoma
JF-Expert Member
- Feb 25, 2008
- 1,085
- 1,049
Kuna mama mmoja anauza mihogo ya kukaanga hapa CBE Dar nje ikifika saa 12 hadi moja moja flani hivi jioni.
Amekuwa msaada mkubwa sana kwa kweli hasa kwa wadada warembo wa CBE, utakuta sister du mkali anachukua vipande vyake vitatu anakaa pembeni anagonga na fursana yake moja anatulia.
Subirini wakija kwenu huko wanataka kuku na misoseji, huku wanagonga tu mihogo, nashauri kama una mtu wako CBE jioni we mtembelee tu jioni kati ya SAA 12 na SAA moja nje geti la pili kama unatoka mahakama ya Kisutu utaona.