Wanafunzi bwana!

Real joh

Member
Mar 14, 2012
19
0
Tunatumia muda mwingi kufanya mambo yasiyohusiana kabisa na elimu,tukifeli tunashirikiana na wazazi kuishutumu serikali......!
 
sasa kwanin unafanya mambo yasohusiana na elimu? Bilashaka utakuwa hujitambui ila kwa mm huwa simix mambo kizembe...
 
bid up dogo langu!...haya sepa humu ndani...afu chukua huu uzi uende nao kuleeee!...bebeni fasta!
 
Back
Top Bottom