Hizi english Medium zimejikita kuwaridhisha wazazi wa wanafunzi kuliko kutoa elimu

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Mar 11, 2020
2,709
6,505
English medium zimejikita sana kwenye kuridhisha wazazi kuliko kutoa elimu, ni bahati mbaya wazazi hawajagundua hili..

Na hizi shule zimejikita sana kwenye kuwafurahisha wazazi, walisha jua hapo ndio uchawi ulipo, na wazazi wanajifanya wako busy hawahangaiki kufuatilia baadhi ya mambo.

Mfano, utashangaa darasa labda wako wanafunzi 70, kwenye matokeo ya darasani na yanayo tumwa kwa wazazi hutaona mtoto alio shika nafasi ya 70, wanaweza ishia kwenye 20 au 30 tu unakuta nafasi 1 wanawekwa wanafunzi 10, wanafanya hivi kuwafurahisha wazazi na wanaogopa kumuweka mtoto amekuwa wa mwisho make mzazi atakasirika na anaweza muhamisha mtoto wake hapo hivyo ili kuwafurahisha wazazi wanafanya mtindo wa kufungamana kwamba kila nafasi wanafungana watoto kama 10 hivi kwa zile za juu tu.

Hilo hawafanyi kwa bahati mbaya ni Marketing strategies ya kuwaridhisha wazazi wa wanafunzi. na wanajua fika sio rahisi mzazi kufanya ufuatiliaji na hata ukifanya watakuambia wamefungana yes.

Sasa jiulize kama watoto wako 70 kwa nini wafungane waishie kwenye 30 au 20? kwa nini hakuna mtoto wa 60 wala 50 wala wa mwisho alie shika mkia?
 
Upo negative Sana , itibu njaa yako then utakuwa umeitibu akili na mwisho utaitibu roho yako.
 
Ukiniuliza mimi kuhusu hili nitakukatalia.

Nafanya kaz ya ku develop and offer software solution kwenye taasisi mbali mbal na mojawapo ni mashule.

Shule nying sana zinatumia softwares now days katika ku manage academic analysis and reporting na hapo sio mwalimu au mwanafunz anaamua cha kufanya au wapi akae..ni system inawapanga watoto kulingana na viwango vyao vya ufaulu toka wa kwanza mpaka wa mwisho AUTOMATICAL. hata wakipishana alama kwa 0.01%.

Na hapa naongelea mpaka shule hiz za kawaida kabisa kwa asilimia kubwa.

NB
exceptions are innevitable
 
Halafu hii ya kuangalia maendeleo ya mtoto wako kwa kumlinganisha na mwingine haina afya kabisa. Ukiitizama hata kifalsafa inasumbua

Vipi kama tukitumia kanuni itakayompima mtoto binafsi na anavyozidi kupata matokeo bora kulingana na lengo la yeye mwenyewe. Mfano mtoto alitaka apate 75% akipata 75 kweli basi amefaulu lengo lake kwa 100% na ikitokea amepata 80 basi amefaulu kwa 100+% hata labda 120%

Pia kumpima yeye anavyofaulu kutokana na uwezo wake binafsibinafsi🤔🤔. Maana therebis a power in knowing that one can improve.

Kwa waalimu, wanataaluma na washikadau wengineo. Hebu angalieni kama mnaweza kutumia kanuni/formula hii
Screenshot_20231218-135358_Chrome.jpg

Ondoa neno 'parasitemia', weka neno 'maksi' na ondoa 'treatment' weka 'muhula'.

Usipoelewa nicheki kwa whatsap 0734189022

Dedicated to improving academician
 
Ukiniuliza mimi kuhusu hili nitakukatalia.

Nafanya kaz ya ku develop and offer software solution kwenye taasisi mbali mbal na mojawapo ni mashule.

Shule nying sana zinatumia softwares now days katika ku manage academic analysis and reporting na hapo sio mwalimu au mwanafunz anaamua cha kufanya au wapi akae..ni system inawapanga watoto kulingana na viwango vyao vya ufaulu toka wa kwanza mpaka wa mwisho AUTOMATICAL. hata wakipishana alama kwa 0.01%.

Na hapa naongelea mpaka shule hiz za kawaida kabisa kwa asilimia kubwa.

NB
exceptions are innevitable
Hujui kitu wewe anaeingiza matokeo ni mwl sio wewe developer wa system

Mwl ndiyo anayechezesha matokeo kabla hajaingiza kwenye system

Kama hujawah fundisha hii kitu huwez gundua tuachie sisi ndiyo wataalam

Nan anataka akose mshahara kisa matokeo ya kurekebisha tuu

Although siku hiz hakuna kufeli ni mwendo wa mabanda tuu mzaz anafurahiiiii anamwaga pesa tuu na sisi wafanyakaz tuna furahiii kama yeye hayo ndiyo maisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona unanitus bila kosa chief.
Heb tufikiri pamoja kidogo, mwalimu kaingiza matokeo mtoto kapata 100, na je mtihani si una score mark tayar? Au nao wana edit??

Maana mtihan unafika kwa mzaz na mzaz!!
 
Tutafute pesa watoto wasome shule nzuri... hizi negative thinking ni kwa sababu tu hatuna hela
 
Kwanza hicho kitu naona hakuna ni kweli watoto hufaulu sana shule ziko vizuri sanaa....kukomalia taaluma.....darasa yote wanajitahidi.....wanafungana kweli kweli ni sawa....hata mtoto akiwa wa 70 while ana average B sio mbaya ......
 
Wa
English medium zimejikita sana kwenye kuridhisha wazazi kuliko kutoa elimu, ni bahati mbaya wazazi hawajagundua hili..

Na hizi shule zimejikita sana kwenye kuwafurahisha wazazi, walisha jua hapo ndio uchawi ulipo, na wazazi wanajifanya wako busy hawahangaiki kufuatilia baadhi ya mambo.

Mfano, utashangaa darasa labda wako wanafunzi 70, kwenye matokeo ya darasani na yanayo tumwa kwa wazazi hutaona mtoto alio shika nafasi ya 70, wanaweza ishia kwenye 20 au 30 tu unakuta nafasi 1 wanawekwa wanafunzi 10, wanafanya hivi kuwafurahisha wazazi na wanaogopa kumuweka mtoto amekuwa wa mwisho make mzazi atakasirika na anaweza muhamisha mtoto wake hapo hivyo ili kuwafurahisha wazazi wanafanya mtindo wa kufungamana kwamba kila nafasi wanafungana watoto kama 10 hivi kwa zile za juu tu.

Hilo hawafanyi kwa bahati mbaya ni Marketing strategies ya kuwaridhisha wazazi wa wanafunzi. na wanajua fika sio rahisi mzazi kufanya ufuatiliaji na hata ukifanya watakuambia wamefungana yes.

Sasa jiulize kama watoto wako 70 kwa nini wafungane waishie kwenye 30 au 20? kwa nini hakuna mtoto wa 60 wala 50 wala wa mwisho alie shika mkia?
Wanaokuushambuli kwa hujui chochote kwa sababu unaharibu biashara zao. Wazazi wengine nao badala wafatilie nao wanakushambuli,basi endeleeni kulipa Hela mtashituka kumesha kucha
 
Angalia matokeo yao Ya darasa La saba Yaliyopo NECTA pia wote wamepata "A" ina maana na serikali na yenyewe inataka kuwafurahisha wazazi wa watoto wa English medium kwa kuwapa wote "A"..

MKUU PELEKA MTOTO APATE ELIMU SIO AKUE
Kwa ufaham wangu hiz shule zina utaratib mzur sana wa ku report.
Mtoto hapewi report apeleke nyumban.

Mzazi anaitwa shulen , mwalimu anakaa na mzaz kujadili matokeo ya mtoto face to face pembeni kukiwa na bundle ya mitihan yoote ya mtoto. So mmzaz hupewi tu mitihani bali maelezo pia..maswali na majibu kuhusu maendele ya mtoto. Sasa hapa chief wewe ndio utuambie unapeleke watoto shule zipi hiO za english medium.

Au ndio zile shule za vichochoron
 
Ukiniuliza mimi kuhusu hili nitakukatalia.

Nafanya kaz ya ku develop and offer software solution kwenye taasisi mbali mbal na mojawapo ni mashule.

Shule nying sana zinatumia softwares now days katika ku manage academic analysis and reporting na hapo sio mwalimu au mwanafunz anaamua cha kufanya au wapi akae..ni system inawapanga watoto kulingana na viwango vyao vya ufaulu toka wa kwanza mpaka wa mwisho AUTOMATICAL. hata wakipishana alama kwa 0.01%.

Na hapa naongelea mpaka shule hiz za kawaida kabisa kwa asilimia kubwa.

NB
exceptions are innevitable
Huna unacho kijua wewe
 
Hujui kitu wewe anaeingiza matokeo ni mwl sio wewe developer wa system

Mwl ndiyo anayechezesha matokeo kabla hajaingiza kwenye system

Kama hujawah fundisha hii kitu huwez gundua tuachie sisi ndiyo wataalam

Nan anataka akose mshahara kisa matokeo ya kurekebisha tuu

Although siku hiz hakuna kufeli ni mwendo wa mabanda tuu mzaz anafurahiiiii anamwaga pesa tuu na sisi wafanyakaz tuna furahiii kama yeye hayo ndiyo maisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umenisadia
 
Kumbe kuna wazazi bado wanahangaika na nafasi sio ufaulu tena ? Kwa hio mkuu kuna watu wakiambiwa mtoto wako ana wastani wa 90% amekuwa wa 70/70 anahamisha mtoto hio shule ?
 
Kwa ufaham wangu hiz shule zina utaratib mzur sana wa ku report.
Mtoto hapewi report apeleke nyumban.

Mzazi anaitwa shulen , mwalimu anakaa na mzaz kujadili matokeo ya mtoto face to face pembeni kukiwa na bundle ya mitihan yoote ya mtoto. So mmzaz hupewi tu mitihani bali maelezo pia..maswali na majibu kuhusu maendele ya mtoto. Sasa hapa chief wewe ndio utuambie unapeleke watoto shule zipi hiO za english medium.

Au ndio zile shule za vichochoron
nani kakudanganya? etu mzazi anaitwa shuleni, unazungumzia shule ipi? kwamba shule una wanafunzi 1000 inaita wazazi 1000 shuleni kila mmoja ana kabidhia matokeo?
 
Kwa hio ni sawa kuto kuwepi mtu wa mwisho? si ndio?
Kwa meaelezo yang na uzoef, mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho anakuepo na sometimes anaweza asiwepo.
Kwamfano, ziko modes nying za ku gaupe positioning ya mtoto na hii imekua mjadala mpaka level ya wizara.
Zaman watoto wawil wakipata wastan wa 100, mmoja anakuwa wa kwanza kisa tu jina lake linaanza na alphabet A. Sasa watu wakajiuliza kimsingi hawa wote wana 90% kwann wote wasiwe kwenye same position. Maana kizaman kulikua na dhana ile ya kusema ameshika nafas ya 1.5.

Watu wakaona bado hai make sense ndio unaonansasa wanakuja na theories kama hiz kwamba kama watatunwoote wana 100, no way hawa woote ninwa kwanza ..watano wanaofuata wana 98, hawa woote ni wa pili..

Shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom