Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo
 
Hivi hii chuo ya Stawisha jamii imekumbwa na nini mbona kinakwenda harijojo sana na leo nimesikia kimezuiliwa kudahiri mwaka huu
 
Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo

Tunaomba uwataje majina, ili wajulikane.
 
hii maana yake nini??au walikua wanasave hela ya chumba??lakini jinsia tofauti?hapo kazi ipo..
 
Sasa hao si watu wazima, polisi nao bana kukatisha tu starehe za watu.
Mambo mengine ni ya kijinga sana.
Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!

This is bull shit!!
 
Kosa lao ni nini?

Zaidi ya kufanya kosa la kulala watu nane katika chumba cha mtu mmoja (au wawili) na hivyo kuwakosesha mapato wenye hoteli, sijaona jipya la kufika kuandikwa kwenye gazeti
 
Sioni kibaya hapa, pangekuwa na mtoto chini ya miaka 18 hapo sawa,lakini watu na shughuli zao na mambo yao anaweza kusema staki au nataka tamu au chungu.ebu wacheni watajijua wenyewe kwa raha zao.
 
Kosa lao ni nini?

Zaidi ya kufanya kosa la kulala watu nane katika chumba cha mtu mmoja (au wawili) na hivyo kuwakosesha mapato wenye hoteli, sijaona jipya la kufika kuandikwa kwenye gazeti
Hizi ndo Habari za HABARI LEO siku hizi,
wao si ndo waliandika kuna mama kaoa wanaume wawili? headline front page.
 
hii maana yake nini??au walikua wanasave hela ya chumba??lakini jinsia tofauti?hapo kazi ipo..
Ni walalahoi walikuwa wana save money. Bila shaka mmoja alipanga chumba akawakaribisha na wenzake bila ya UBAGUZI. Au chumba kilibaki hicho tu, sijui lakini, hayo ni maoni yangu tu. Usikute walitaka kuzini, maana 'watoto' siku hizi, mmh!!
 
Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo

kam kulala watu 8 chumba kimoja wa jinsia tofauti ni kosa basi hawa polisi wangeenda kwenye hostel za vyuo hapa nchini wangekamata wanafunzi wote. wanaacha majambazi yanaiba wanawavurugia watu starehe zao....
 
Hizi ndo Habari za HABARI LEO siku hizi,
wao si ndo waliandika kuna mama kaoa wanaume wawili? headline front page.

Wameishiwa na cha kuandika na sie wasomaji tumejishusha thamani hata kukubali habari uchwara kuuziwa magazetini
 
kwa hiyo hapo ndo walikuwa wanafuatilia habari za kiintelejensia . hahaaa wanaacha majambazi huko wanaenda kukamata wanafunzi duh kweli polisi sasa sina imani naooooo kabsaaaaa
 
Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.
Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.

Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mambo mengine ni ya kijinga sana.Viwanafunzi vya kizungu vinajibana vinakuja bongo kutalii, vinalala vinne kwwenye double room au hata siita mpaka kumi, kule kipepeo beach kigamboni kwenye bandas za ufukweni, unakuta vimejirundika hata kumi, and it is okey kwa vile ni wazungu..........sasa hawa wanafunzi wa ustawi wamevunja sheria gani ya usalama mpaka wakamatwe na walinda usalama??@!This is bull shit!!
The tehe tehe ... Miafrika haiweziiiiii. Ngozi zikigusana tu tayari agenda ishabadilika! Pia hawakuandikisha majina kwenye daftari na tatu ni kosa kwa watu wa jinsia tofauti kulala kwenye nyumba za wageni bila kuwa wanandoa.... Tatizo tunavunja sheria kila siku bila kujua hivyo kwakuwa tu hatuchukuliwi hatua!Hizi digrii za bamaga mh!
 
Back
Top Bottom