Wanafunzi 8 wa chuo jinsia tofauti wakutwa guest chumba kimoja

Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.
Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.

Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti

Hata mimi nilifikiria hivyo pia.
 
  • Thanks
Reactions: Paw
kam kulala watu 8 chumba kimoja wa jinsia tofauti ni kosa basi hawa polisi wangeenda kwenye hostel za vyuo hapa nchini wangekamata wanafunzi wote. wanaacha majambazi yanaiba wanawavurugia watu starehe zao....
Hata Polisi nao huwa wanafanya makosa yanayofanana na hayo kwenye makambi yao. Unakuta askari ana chumba peke yake hamna sebule wala jiko halafu ana mke na watoto na haus gel na sometimes na ndugu. Uonevu tupu, tena wamewatangaza kwa vile mayankee wamefulia hawakuwa na hela ya kuhonga otherwise wangemalizana palepale kwa kuchukua mshiko. Nyani haoni kundule.
 
Toa habari timilifu: hapo polisi wanakamata kwa tuhuma gani?, jeshi letu halikomi kujiaibisha!.
Polisi dodoma imewakamata wanafunzi 8 jinsia tofauti wa chuo cha ustawi wa jamii-dar wakiwa wamelala ktk chumba kimoja ktk nyumba ya kulala wageni Vatican mjini dodoma.Fumanizi hilo lilitokea wakati polisi wakiwa ktk upekuzi wa kawaida mida ya saa 8 usiku!source gazeti la habarileo
 
The tehe tehe ... Miafrika haiweziiiiii. Ngozi zikigusana tu tayari agenda ishabadilika! Pia hawakuandikisha majina kwenye daftari na tatu ni kosa kwa watu wa jinsia tofauti kulala kwenye nyumba za wageni bila kuwa wanandoa.... Tatizo tunavunja sheria kila siku bila kujua hivyo kwakuwa tu hatuchukuliwi hatua!Hizi digrii za bamaga mh!
.


Hao ni wanafunzi wa ustawi wa jamii wanafanya utafiti jinsi jamii za kitanzania zinavyo ishi, baba na mama na watoto watano jinsia tofauti, mtoto wa mama mkubwa kaja,shangazi kaja, familia ina vyumba viwili tu wanaishi vipi? polisi wakawakamate huko basi. kuandika majina kwenye daftari haisaidii kitu nani anauhakika kuwa umeandika la uongo au lakweli, mpaka vije vitambulisho vya kitaifa ndo itasaidia, kulala jinsia tofauti nyumba za wageni mpaka muwe mmeoana? sijasikia hiyo sheria labda ipo kwenye vitabu tu. kwani hao wasichana wanao jiuza wakati wazee wakiwa mjengoni, wameolewa na hao wazee au hiyo sheria haiwahusu? mbona gest nyingi zimejaa mchana lakini usiku haukuti watu. Sheria gani zina vunjwa? hivi hii inchi kunasheria zinazowahusu baadhi ya watu tu, na wengine wapo juu ya sheria hizo?
 
sasa kosa ni kulala wengi? au kosa ni kuwa wanafunzi? kwanini polisi wasiwakamate wahudumu wa hiyo gest husika.maana ndo wahusika wakubwa wa kuandikisha majina.
 
Nimestushwa kwa jinsi mnavyotetea kosa kwa namna ya kipekee.
Thus wengi wenu mnakuwa mstari wa mbele kutetea wakosaji hapa jukwaani badala ya kuelimishana kupunguza idadi ya makosa jukwaani.

Ktk masuala ya malazi hasa hizi nyumba za wageni kuna idadi inaruhusiwa kulala chumba kimoja na isizidi hapo. Kama wamekamatwa ujue sheria inayozuia ipo ila tumekuwa wavivu kufanya utafiti

Acha uwongo wako wewe!

Mara ngapi watu huchukua chumba single na kuingia na mtu wa pili.....Nimeshuhudia kwenye nchi moja siitaji jina wanafunzi wa kihindi 8 wanaishi kwenye 2 bed room appartment. Hakuna polisi kuweka pua wala nini
 
tuanze na hili kwanza

FROM SINZA TO DODOMA
JIULIZEN KAMA KWELI WALIKUWA NA LENGO LA KUZINI WAMEACHA KUZINI GUEST ZOTE SINZA JAMANI???SIWATETEI NASEMA UKWELI MAISHA ANAYOISHI RAIS KIKWETE HAYA NI OPP YAKE NA LAZIMA MUYAKUBALI AKIKWAMBIA AMEKOSA HELA YA CHUMBA WAPI WAMEANDIKA KWENYE GUEST AWARUHUSIWI KULALA ZAIDI YA WAWILI CHUMBA KIMOJA..TENA WANGENIKAMATA MIMI ZINGA LA DILI NAANZA NA WAKUU WAO KWANZA... AALAFU NIKUSAIDIE TU

SINZA NZIMA
POLISI USIKU WANAZINI NA HAWA MALAYA KILA IITWAPO LEO...NIKUSAIDIE TU KUNA NDUGU ZANGU WALIKUJA KWA AJILI YA HARUSI TUKAWA TUMEJAA KWA WAZAZI IKABIDI DIDY NIONDOKE KWANGU WAZEE WETU WAENDE KWANGU..NIKAMCHUKUA MDOGO WANGU MMOJA..TUKAENDA GUEST YA ELIZABETH PALE SINZA KUMEKUCHA NJIA YA KUINGILIA LION..PEMBEN MWANGU WAKAJA MALAYA WAWILI NA KIJANA MMOJA WAKAINGIA NDANI...ILIKUWA SITA SABA NIKAWA NJE..NA DOGO TUNAFURAHIA MAISHA YA WAPENDANAO SINZA..ILIPOKARIBIA SABA NUSU NIKAENDA KULALA .BAADA YA MUDA WAKAJA MAPOLISI USIKU ... WAKAMWAMURU DOGO WA GUEST TUFUNGUE NILIPOFUNGUA AKANZA KUTULIZA MASWALI MARA LILE ALIPOKUTANA NA KICHWA ZAIDI YAKE WAKO WANAUME WAWILI NA MWANAMKE MMOJA WAKAINGIA CHA PILI..USINGIZI UKANITOKA..NIKAENDA NJE..NILIPORUDI NDAN NIKAKUTANA WANAMLAZIMISHA YULE JAMAA ALIEKUWA NA MALAYA AKAKATE POCHI KWA ASKARI WA KIKE NA WALE WANAUME WAWILI WAKABAKI NDANI MPAKA NAAMKA ASBH WASIVYONAIBU HATA NGUO GWANDA ZAO AWAKUKUMBUKA KUVUA WANATOKA ZIMEKUNJIKA KAMA WAMEFUKUZWA...HAWA NDIO POLISI WAMEAAGA KWA WAKE ZAO WANAENDA KAZINI ...KAMA SIO KUTAFUTA UKIMWI NINI UNAHISI POLISI ANAJUA CONDOM..MBOWE ALISEMA KAMA KIONGOZI AJUI KUJILINDA NA CONDOM BASI MWACHEN AFIE MBALI KILA WAKIENDA HALMASHAURI WATU WAKO KWENYE KOZI YA UKIMWI JAMANI JAMANI

SO UKIONA HIVYO YAWEZEKANA HAO WANAFUNZI WAMEWACHOMOLEA KUVUA CHUPI KAMA WALIVYOZOEA KILA ALIE NDANI NI MALAYA WAKAONA WAWACHIE..MI NASEMA MWENYE KUJUA MMOJA WAPO ANI PM NISEME NA HIYO KESI
 
Acha uwongo wako wewe! Mara ngapi watu huchukua chumba single na kuingia na mtu wa pili.....Nimeshuhudia kwenye nchi moja siitaji jina wanafunzi wa kihindi 8 wanaishi kwenye 2 bed room appartment. Hakuna polisi kuweka pua wala nini
Baba mchungaji sasa apartment na chumba cha hotel wapi na wapi?!Hotel zina masharti yake na apartment zina yake...kwenye apartment hata mkikaa mia ila kodi inalipwa na usafi unazingatiwa landlord hawezi kua na tatizo na mpangaji.Ila hotel bwana ni biashara nyingine kabisa ndio maana hua wanalipisha kwa vichwa.
 
acha uwongo wako wewe!

Mara ngapi watu huchukua chumba single na kuingia na mtu wa pili.....nimeshuhudia kwenye nchi moja siitaji jina wanafunzi wa kihindi 8 wanaishi kwenye 2 bed room appartment. Hakuna polisi kuweka pua wala nini

mkuu rev
yawezekana tatizo so lake la wazazi wake kuwakremisha ukiona mwanamke kaingia namwanaume ndani kazini kama ni hivyo yule mama aliekamatwa tabora anagawa hela kwenye guest alikuwa na wanaume 7 wanawake 8 nao utasema walikuwa wanafanya nini??embu tukue usikatae kueleimishwa nimesadia kuelekeza hata hao askari nao wanatafutaga malaya usiku ukiwachomolea unazunguka nao guest zote wanaenda kukuweka ndani ..hao ndio prince mwema familly
 
baba mchungaji sasa apartment na chumba cha hotel wapi na wapi?!hotel zina masharti yake na apartment zina yake...kwenye apartment hata mkikaa mia ila kodi inalipwa na usafi unazingatiwa landlord hawezi kua na tatizo na mpangaji.ila hotel bwana ni biashara nyingine kabisa ndio maana hua wanalipisha kwa vichwa.

mkwe umetoka lupango
haya tuendelee kwa hiyo hapo unasema tatizo ni kulala wengi chumba kimoja ama swala lajinsia..unavyomaanisha ingekuwa meneja wa hotel kalalama sawa ila ni hawa punguani wetu watoto wa mh mwema ndio wamelianzisha nadhan na hawa askari wanatakiwa kupimwa akili kabisa
 
Ninyi mnaosema mara kuna baridi mara ku save hivi mmojwapo angekuwa ni binti yako wa kuzaa ungesema unayosema? Je ktk utamaduni wetu wa kitanzania ni lini jambo hilo limekuwa la kawaida wanaume na wanawake kujibanza katika chumba kimoja kama siyo orgy ni ni kitu gani hiki. Chuo cha usitawi wa jamii kimekuwa kikisemwa vibaya sana hasa kutokana na kuwa breeding site ya wasichana wanaouza miili yao maeneo ya Sinza, Bamaga na Mwenge. Chuo hiki kinahitaji kufanyiwa maombi kwani ni kama yule agent wa sexual immorality kutoka kuzimu ameweka ofisi yake hapo.

Tuwaonee huruma kwani wanakokwenda hawatafika kwa mwendo huu wa kufanya perversion kubwa namna hiyo halafu wakishindwa kuolewa wanamlaumu Mungu kumbe wao wenyewe wameharibu.
 
Back
Top Bottom