Wanachama zaidi ya 1900 CHADEMA wajiunga na CCM

nimeona watuwanapewa adahabu ya pushap kwa kutoa rushwa , sijaona kadi yoyote ya CDM

Kua yangu ni kw lowasa tu
 
wanampigania il ashinde tu .lakini baadaye mambo yatakua vilevile hakuna jipya. chama ndicho itamuongoza afanye nini.
 
[h=2]MAGUFULI AITIKISA SINGIDA MJINI[/h] Mgombea wa urais kupitia CCM, DR jOHN Pombe Magufuli amezidi kuiteka Singida, maelfu kwa maelfu wamejitokeza katika mikutano yake, na zaidi ya wanachama 1900 wa chadema wamerudisha kadi zao na kujiunga rasmi na CCM.



Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye viwanja vya mikutano vya Peoples kuhutubia wakazi wa Singida mjini.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi Singida mjini kwenye uwanja wa mikutano wa Peoples ambapo aliwaambia wakazi hao kuwa ataibadilisha Singida na kuufanya kuwa mji wa Biashara, pia aliwaambia vijana wanafunzi wa vyuo kuwa atahakikisha wanapata mikopo kwa wakati, mikopo kwa vijana na wakina mama .
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa Singida mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais kwa kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akitoa salaam za shukrani kwa Mbunge wa Singida mjini anayemaliza muda wake Ndugu Mohamed Dewji (kushoto) na Mkuu wa mkoa wa Singida Dokta Parseko Vicent Kone kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea wa ubunge wa jimbo la Singida kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja vya Peoples.
Mbunge wa Viti Maalum mtarajiwa Aysha-Rose Matembe akiwasalimu wakazi wa Singida mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
Kutoka kulia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mwigulu Nchemba akipiga push ups pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Singida mjini Ndugu Mussa Sima (katikati) na Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Lazaro Nyalandu.
Wakazi wa Singida mjini wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Singida Diana Chilolo akihutubia wakazi wa Singida mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Iramba Mwigulu Nchemba akihutubia wakazi wa Singida mjini waliojitokeza kwa wingi kumsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea ubunge wa jimbo la Bumbuli Ndugu January Makamba akihutubia wakazi wa Singida mjini waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Ndugu Lazaro Nyalandu akihutubia wakazi wa Singida mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mbunge wa Jimbo la Singida mjini anayemaliza muda wake Ndugu Mohamed Dewji akihutubia wakazi wa Singida mjini kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Umati wa wakazi wa Singida mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Msafara wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli ukiwasili kata ya Sepuka .
Mwigulu Nchemba akimkaribisha Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipowasili Sepuka.
Wakazi wa Sepuka wakishangilia ujio wa Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kabla ya kuhutubia wananchi waliojitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya shule ya msingi Kiomboi Bomani.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Mhe. Mwigulu Nchemba akihutubia kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Kiomboi Bomani.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa shule ya msingi Kiomboi Bomani.
Wakazi wa Kiomboi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiondoka eneo la Mto Ndulumo baada ya kukagua daraja ambalo kwa sasa halitumiki baada ya kuathirika na mafuriko ambapo aliwaahidi wananchi wa kijiji cha Msingi Kidi kuwa daraja hilo litatengenezwa mapema

Acha usengenyaji!!!! HAO WALIO HAMA WAKO WAPI???? UNATAFUTA KIK KWA NGUVU!!!!!!!
 
Jiandae # hapa ni kazi tu.

Unajitekenya mwenyenyewe na kucheka,ukawa uko imara,adui mkubwa wa nchi i no fisiem,ndo root cause ya matatizo ya nchi i,lazma ung'oke mwaka u,goli menu LA mkono tutalizibiti kwa kulinda kura, majizi nyie
 
Hiki.ni kichekesho kwny mikutano mgombea anauliza eti.kuna waliohama.chama hao kura zao wanajua watampa nani mnapotea sana aisee
 
Hapo ulipo huna kazi unabakia kusema hapa kazi tu, subirini mje mshikishwe ukuta pumbav nyie .. mfungwa
 
Last edited by a moderator:
nimeona watuwanapewa adahabu ya pushap kwa kutoa rushwa , sijaona kadi yoyote ya CDM

Kua yangu ni kw lowasa tu

Kila kitu ni ahadi na misemo hewa, hata hili la watu kurudishwa kadi nalo wanadanganya.
 
Back
Top Bottom