Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

r.i.p chetuntu,queen umeongea la maana sana.kuna haja ya kutafuta mtu humu anijue kiukweli

ukifanya hivyo itakua vyema,tumekuzoea humu,lkn hatuombei itokee mapema japo wote tunajua siku moja tutakufa na ni vyema wapendwa wetu wakapata nafasi yakuomboleza juu yetu siku ikifika.
 
Kweli aisee, hivi kuna Member wa JF huku KAZIMZUMBWI?
Kama yupo basi tukutane pale kwa Mzee Mambaligwa karibu na ule muembe uliokuwa ukitumika kwa shughuli za Mkole na Ngoweko.
Pale kuna kijiwe kizuri sana cha Kahawa. Nitakuwa nimevaa Kanzu ya nyeupe na Makubazi na Mawani yenye fremu za plastic.
 
queenkami umenigusa na huu ujumbe,yaan nimejikuta natafakari mambo mengi,siku mm cheusie roho itakapoacha mwili sijui nan atakuja jf kuwajulisha,ila roho yangu haitatulia nife bila kuambiwa R.I.P CHEUSIE na wana jf.Lazima nikifa wana jf waniambie R.I.P hivyo jamani nan anataka kukutana na cheusie mlimani city this weekend??sharti atakayekuja kama ni mkaka aje na mkewe?
 
queenkami umenigusa na huu ujumbe,yaan nimejikuta natafakari mambo mengi,siku mm cheusie roho itakapoacha mwili sijui nan atakuja jf kuwajulisha,ila roho yangu haitatulia nife bila kuambiwa R.I.P CHEUSIE na wana jf.Lazima nikifa wana jf waniambie R.I.P hivyo jamani nan anataka kukutana na cheusie mlimani city this weekend??sharti atakayekuja kama ni mkaka aje na mkewe?
Lol cheusie??...kama hana mke je?
 
hellow wakuu.Member kama mim queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia.R.I.P.

queenkami umenikumbusha kuna memba mmoja anaitwa HOYANGA aliwahi kuja humu jamvini na kulalamika kuwa anaumwa sana hivyo anahisi kuwa atarest in peace siku sio nyingi, kama unavyoifaham jf kuna waliompa pole na kumshauri aende kwa madaktari bingwa, kuna waliomdhihaki na kumcheka n.k.... Toka siku ile sijawahi tena kumwona yule memba humu jamvini na ni mda mrefu sana umepita kama miezi 6 au 8 hivi... Hatujui labda alizidiwa na kutangulia mbele ya haki kweli( siombei iwe hivyo) au vipi......kufahamiana/kujuana ni jambo jema na la msingi sana.

Ingawaje humu ndani kuna memba wengi wanaojuana.
 
Last edited by a moderator:
Siku nikifa kwa herini wana jamii wenzangu maana ni kweli hakuna anayejua ID yangu ili kutangaza kifo.
 
Dah! Queen kami..... Umewaza nini dear? Ujumbe wako umenigusa na kunifanya nimkumbuke ODM (for ndie alie tutaarifu msiba wa Chetundu).

Hapa JF tunaweza tusijuane but tumejenga bonds na some of the members.... Uraiani twaonana na watu wengi na tumejenga mahusiano mpaka (atleast to me) napenda the anonymity ya hapa JF, wawasiliana na watu vizuri kabisa na you can feel wawajua hali you don't know them.... sometimes it makes it so perfect sababu inakua kama "Alice's wonder land" .... What I am saying hapa ni kua in reality hatujuani... but naamini member ambae nawasiliana nae kwa karibu aweza niuma kama vile namjua.... Na kumbuka na wenzetu wengine wana bahati na wajuana....

Nimependa Thread yako.... Naungana na wewe.... "Wa innalilaah wa innallilah rajun" Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema awarehemu wale woote walotangulia mbele ya haki. Ameen.

Hii Thread sijaipenda, sababu ya kutokuipenda imenikumbusha member wa JF aliyefariki 17 November 2011lakini ID yake ya hapa JF sikuwahi kuijua alikuwa anafanya siri. Jina lake la Ukweli ni SALIM HASSAN, Marehemu alianguka ghafla wakati anafanya mazoezi ya kukimbia asubuhi, aliitiwa Ambulance na kumpeleka Steve Biko Hospital Pretoria, Marehemu alikuwa kwenye COMA kwa week, baada ya week alifariki na mwili wa marehemu ulisafirishwa nyumbani Tanzania na kuzikwa kwao Zanzibar. Marehemu alikuwa Mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini South Africa as Driver. Marehemu aliacha Mke na Mtoto mmoja wa kike nchini South Africa, RIP.

Salimu.jpg


Salimu.jpg

Salim1.jpg
 
Mimi huwa namkumbuka sana yule mwenzetu aliyejiita Mpenzi wa Islam. Huyu alinigusa sana kwa jinsi alivyokuwa mpole na kutumia lugha ya kistaarabu katika majadiliano katika jukwaa la dini. Pamoja na baadhi ya wachangiaji walikuwa wakitumia matusi na kashfa nzito nzito dhidi ya dini ya Kiislam, Mpenzi wa Islam hata siku moja hakukashifu, kumtukana mtu/dini au kutumia lugha ambazo si za kistaarabu bali alijibu kwa kujaribu kuwaelewesha wachangiaji hao. Nilipenda sana kusoma michango yake na hadi nikamuomba urafiki hapa jamvini. Nilipenda sana kukutana naye na tayari nilishapanga kumtafuta pindi nafasi ingeruhusu lakini kabla ya kufanikiwa kufanya hivyo akafariki. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu na wengine wote waliowahi kuwa wanachama wa jamvi hili mahali pema peponi~AMEN.

 
Last edited by a moderator:
@ Mzalendo80 sasa ulijuaje kama alikuwa memba wa jf na huku hujawahi kuijua ID yake?

By the way pole kwa kukumbushwa machungu. Yote ni kazi ya Mungu.
 
r.i.p chetuntu..binafsi mimi nawajua member 4 kwa sura maana mimi niliwashauri kijiunga..ila wao hawajui ID yangu hadi sasa, nafikiria kuwajuza nasita maana mmh ni hatari kidogo ila ni muhimu pia.
 
Mpenzi wa Islam ... Mwenzetu wa jukwaa la dini ... Is id yake ina RIP though alifariki kitambo zaidi ya miaka miwili now ... Mola ampuzishe mahala pema... Pamoja na chetuntu.
 
Hii Thread sijaipenda, sababu ya kutokuipenda imenikumbusha member wa JF aliyefariki 17 November 2011lakini ID yake ya hapa JF sikuwahi kuijua alikuwa anafanya siri. Jina lake la Ukweli ni SALIM HASSAN, Marehemu alianguka ghafla wakati anafanya mazoezi ya kukimbia asubuhi, aliitiwa Ambulance na kumpeleka Steve Biko Hospital Pretoria, Marehemu alikuwa kwenye COMA kwa week, baada ya week alifariki na mwili wa marehemu ulisafirishwa nyumbani Tanzania na kuzikwa kwao Zanzibar. Marehemu alikuwa Mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini South Africa as Driver. Marehemu aliacha Mke na Mtoto mmoja wa kike nchini South Africa, RIP.

View attachment 44968


View attachment 44968

View attachment 44969




JF Imeeanza mda mrefu saaana..... Saana tena.... It is bound to happen kua wengi hatuko nao tena hapa; Ni kweli kua yawezekana wengine ni members ambao tayari twajuana katika jamii.... BUT with JF it is different.... for the simple reason mtu aishi vile atakavo. Nafikiri sometimes the inner self ya mtu ipo true JF (coz watu wapo comfy hawajulikani) kuliko hata mtaaani.

Malengo ya huu uzi.... nimeyapenda.... Hatujui has ni ipi ID the person behind is deceased.... BUT ile tu kua twawaombea heri na kwa Mungu wapumzike kwa Amani (kama zimetoka rohoni mwetu.... NAAMINI Mungu ni Mkumba na anapokea sala na maombi yetu). Naomba nikupe pole kwa kumpoteza huyo rafikiyo... na pole kwa kukumbuka pia, ila ni vizuri ujue kua some BEST MEMORIES are so painful; But still we reminisce... Pray.... and hope that we will meet again....


Salim Hassan Naamini alikua ni Muislam... Kwa mktadha huo naomba niombe;...

"Allahuma, ghufil'lahu, wal'hamhu, wasa'knahu, fil'janah" - (Salim Hassan); "Innah Lilah' wa innah Lilah' innah lillah Rajyun"

"Alhamdullih rabil ar'Amin"
 
@ Mzalendo80 sasa ulijuaje kama alikuwa memba wa jf na huku hujawahi kuijua ID yake?

By the way pole kwa kukumbushwa machungu. Yote ni kazi ya Mungu.

Nilimjua kuwa Marehemu ni member wa JF alikuwa analalamika kuwa amepigwa BAN na nilipomuuliza kuwa anatumia ID gani akaniambia hawezi kuniambia, ingawa nilitamani kuijua ID yake kwani nilimwambia ID yangu ya hapa JF lakini akakataa kuniambia ID yake. Kwa hiyo sikuweza kumlazimisha, nilijaribu kutaka kuijua lakini sikuweza kufanikiwa mda mwingi alikuwa ana browse kwenye simu yake. Kwa hiyo nilishindwa kuijua.
 
Back
Top Bottom