kichwa cha habari chahusika...
Ngoja nilie kwanza kabla sijarudi
hebu acha siasa dogo...wana cdm wananyanyaswaje wakati zoezi ni la kujiandikisha kwa ajili ya mitihani ya j3?
kwenye hilo zoezi wanaangalia kadi za chama?
nani atakutambua kuwa ww ni cdm na ukizingatia umati wa wana udom wote.
hao ndio wasomi wetu mkuu...na hizo ndio hoja zao!Ndo maana nikamuuliza hapo juu wanajuaje kuwa huyu ni CDM au CCM kwenye wanafunzi wengi
kakurupuka 2.naona hata maelezo ya mleta mada hayatoshelezi
swali ni kwamba,wame2mia criteria gan kujua huyu ni ccm na huyu ni wa cdm?Inawezekana kuna kaukweli kias flani japo si kwa uhakika sana kwani gazeti la jumata3 hii liliandika kuwa mkuu wa wilaya mmoja ataka wanafunzi wa udom wasirudishwe na wakirudishwa warudishwe wa ccm wasiwarudishe wa chadema alidai kuwa wa chadema hawana shukrani kbs,
huyo mkuu wa wilaya aliyeripotiwa na gazet la mwananch kw wasirudishwe wa chadema warudishwe wa ccm anajieleza wazi kuwa kwa matendo yao wakiwa chuoni wa ccm wanajulikana ni kn nani na chadema ni kn nani ndo mana akatoa tamko hilo kwa kusisitizia sanaswali ni kwamba,wame2mia criteria gan kujua huyu ni ccm na huyu ni wa cdm?
kama ulishawai kuonekana ktk shughuli za chadema au wale wanachama wa ccm ndo wanapeleka habari. Mfano kwa hili lina uwakika asilimia mia moja kuna wanafunzi wamesimamisha ktk wale kumi na tano hata hawakuwepo chuo cku za mgomo uliotokea ila majina yao yametoka walikuwepo kwenye mgomo ila chanzo ni uwanachama wao wa chadema ndio umesababisha wasimamishwe masomo.swali ni kwamba,wame2mia criteria gan kujua huyu ni ccm na huyu ni wa cdm?
kichwa cha habari chahusika...
Ngoja nilie kwanza kabla sijarudi
swali ni kwamba,wame2mia criteria gan kujua huyu ni ccm na huyu ni wa cdm?