Wanachama wa CHADEMA UDOM wanyanyaswa vibaya baada ya mgomo

kichwa cha habari chahusika...

Ngoja nilie kwanza kabla sijarudi

Hiyo ni taasisi ya elimu na inaendeshwa kwa kodi za watanzania wote na haipaswi kubagua kati ya mwanaCDM au CCM au sijui chama gani maana wanaolipa kodi wako wanachama wa vyama vya siasa na wasio wanachama
Inakuwaje kunakuwa na ubaguzi na wanatambuaje kuwa hawa ni CDM au CCM au NCCR
 
hebu acha siasa dogo...wana cdm wananyanyaswaje wakati zoezi ni la kujiandikisha kwa ajili ya mitihani ya j3?
kwenye hilo zoezi wanaangalia kadi za chama?
nani atakutambua kuwa ww ni cdm na ukizingatia umati wa wana udom wote.
 
Ndo maana nikamuuliza hapo juu wanajuaje kuwa huyu ni CDM au CCM kwenye wanafunzi wengi
 
Inawezekana kuna kaukweli kias flani japo si kwa uhakika sana kwani gazeti la jumata3 hii liliandika kuwa mkuu wa wilaya mmoja ataka wanafunzi wa udom wasirudishwe na wakirudishwa warudishwe wa ccm wasiwarudishe wa chadema alidai kuwa wa chadema hawana shukrani kbs,
 
swali ni kwamba,wame2mia criteria gan kujua huyu ni ccm na huyu ni wa cdm?
 
swali ni kwamba,wame2mia criteria gan kujua huyu ni ccm na huyu ni wa cdm?
huyo mkuu wa wilaya aliyeripotiwa na gazet la mwananch kw wasirudishwe wa chadema warudishwe wa ccm anajieleza wazi kuwa kwa matendo yao wakiwa chuoni wa ccm wanajulikana ni kn nani na chadema ni kn nani ndo mana akatoa tamko hilo kwa kusisitizia sana
 
swali ni kwamba,wame2mia criteria gan kujua huyu ni ccm na huyu ni wa cdm?
kama ulishawai kuonekana ktk shughuli za chadema au wale wanachama wa ccm ndo wanapeleka habari. Mfano kwa hili lina uwakika asilimia mia moja kuna wanafunzi wamesimamisha ktk wale kumi na tano hata hawakuwepo chuo cku za mgomo uliotokea ila majina yao yametoka walikuwepo kwenye mgomo ila chanzo ni uwanachama wao wa chadema ndio umesababisha wasimamishwe masomo.
 
udom kuna vioja vingi sana tusubir pia sakata la majengo yao yasio na ubora linakalibia kushika kasi.
 
kichwa cha habari chahusika...

Ngoja nilie kwanza kabla sijarudi

Is better to bring supporting explanations, instead of writing one sentence which doesn't bring morale for someone to contirbute.........
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom