Wana jukwaa ebu nipeni password

Mkuu nimesema najua ninachokifanya that is all sasa amenisaidia nini apo nimetaka Unlock code yeye analeta inshu zingine hio nini sasa nimesha washukuru kwa michango yao na nimewaambia Mpaka nineanika imei hapa ina maana sio mbumbu najua ninachofanya
Hebu soma alicho post mdau hapa, then utagundua aliye leta ishu zingine ni wewe au yeye.....
sawa mkuu, ila kwa haraka aroot simu then adownload mtk engineering mode then afungue hiyo ap aende sehem ya telephony scroll down kuna option ya ku unlock (sijaweka process zote atajiongeza mwenyewe)
 
Hebu soma alicho post mdau hapa, then utagundua aliye leta ishu zingine ni wewe au yeye.....
Msome poa previous post kabla ya hio ya kuroot ameleza kuwa ni risk kuweka email public nimemuambia asante, Kwa Taarifa ila najua ni risk na nimefanya nkiwa na jua kwangu ni salama
 
Msome poa previous post kabla ya hio ya kuroot ameleza kuwa ni risk kuweka email public nimemuambia asante, Kwa Taarifa ila najua ni risk na nimefanya nkiwa na jua kwangu ni salama
Any way sipo ku argue nmeangalia ulicho quote na kujibu, RELAX.
 
Kunazingine unanunua unlock code kisha unaweka au unampelekea fundi anakusaidia kuunlock
 
Acha kuweka IMEI namba hadharan ww hujui madhara yake?
Hivi kuna madhara gani maana watu wengi naoga wanazificha sana ime namba hasa wanao fanya biashara za simu online mteja anapo taka ampigie picha ya simu aione
 
Back
Top Bottom