Ombeni Charles
Member
- Apr 22, 2011
- 45
- 7
- Thread starter
- #21
TUACHE UTANI USIO NAFAIDA. HII NI FORUM YA HESHIMA NA CHOMBO CHA KUTUELIMISHA. Hakuna kitu kama hicho!!!!!!. Kwanza we ni mhuni mpaka mtaa mzima wanakujua!
unique
na mimi najua kama hiki ni chombo cha kuelimisha ndo maana na mimi nikakimbilia hapa. Naomba nikuhakikishie mi ninachokieleza ni cha ukweli na kama unabisha please nakuomba unikaribishe kwako ili nije nikuhakikishie hiki ninachokieleza ndani ya Jf. Wala mi co mhuni kama unavo dai mi nikimpata mwanamke ambaye ni saiz yangu ndugu wana Jf nawahakikishia nta2lia naye mpaka we mwenyewe utashangaa.