Wana chadema huu ni wakati mgumu!tuwe wavumilivu!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Kumekuwa na tetesi nyingi juu ya hujuma zinazofanywa dhidi ya chadema ili kuidhoofisha!ni dhahiri kwamba tetesi hz huwezi kuzikwepesha na ccm ambao ni wazi kbs hawapendi mafanikio inayoyapata chdm kuendelea kushika kasi!

Kama vyama vngn vy upinzani vilivyoangamizwa,ni waz kuwa wanataka ku2mia mbinu mbalimbali kuhakikisha chdm inakufa!kw vivite vile ccm hawawezi kukaa kimya huku ikizidi kumomonyoka.mojawapo wa yanayofanywa ni kama

1.kupenyeza watu mashuhuri ndani ya chama ambao wanaweza kuaminika na chama na kupewa nyadhifa kisha kurudi ccm
2.kutengeneza kadi bandia za chadema na kuzisambaza kwa baadghi ya wana ccm kisha kuzirejesha ili chama kionekane kukimbiwa(mf. Hapa arusha maeneo ya kimandolu kuna kadi zinagawiwa kwa wana ccm na viongozi wa juu wa ccm)
3.kubambikizia na kutengeneza kashfa mbalimbali kwa viongozi wa chdm
4.kununua mahakimu wanaosimamia kesi mbalimbali za chdm ili kupindisha haki na kukidhoofisha chama

NATOA RAI KWA UONGOZI WA JUU WA CHADEMA KULIFUATILIA HL NA KULITOLEA MAELEZO ILI KUUA MBINU HIZI CHAFU ZA CCM NA KUIMARISHA IMANI KWA WANACHDM.

Kazi kwenu dr slaa na viongozi wdngine wa chdm.wana jf tutoe ushauri kwa uongozi wa chdm il kukinusuru chama.
 
Kuna ulazima wa kuwa na succession plan ambayo itachekecha wanachama potential wote ambao
wanaweza kuaminika na kukiongoza chama katika spirit inayoonyeshwa na viongozi wa sasa.

Na mpaka sasa sina shaka na uongozi wa chama chini ya Tundu Lissu na huyu kijana mbunge
wa ubungo pamoja na dada halima. sina tatizo na hawa. Ukiwa na uongozi dhabiti hizo hujuma
zingine zote ni kama jumba la karata haziwezi kuwa na madhara.

Na katika hali ya kiuchumi ya nchi yetu ni lazima tukubaliane kwamba tunahitaji viongozi makini
kuliko mfumo makini. tukiendelea kiuchumi we can reverse the priorities.
 
Pamoja sana mkuu! Mwisho wa siku ushindi utapatikana tu. Badala ya kuleta maendeleo wanabaki kununua watu hii technic haitasaidia zaidi ya watu kuchukizwa na ccm zaidi. Kwa maslahi ya taifa ccm kife na wakukiua ni sisi watz.
 
Mara nyingi watu hawakipendi chama tu kwa jina lake au rangi, bali sera na itikadi ambacho chama hicho inasimamia. Itakapotokea kuwa itikadi na sera za chama zinapendwa na wananchi, hakuna mbinu yeyote itakayoweza kuondoa mawazo ya itikadi hiyo ndani ya mioyo ya watu. Mwalimu Nyerere alisema, 'Ujamaa ni Imani.' Alimaanisha kuwa pamoja kuwa na itikadi ya ujamaa inabidi itikadi hiyo iingie ndani ya mioyo ya wananchi.
 
Back
Top Bottom