Elections 2010 Wana CCM Tuamke

mozze

Senior Member
Aug 27, 2010
185
28
Wale wapenzi wa CCM

  • inasikitisha sana kwa kushindwa kuona mama zako, kaka zako, watoto na vijana wenye nguvu wanakufa kila siku kutokana na uongozi usiokuwa na ufanisi na ufisadi.
  • Inauma sana hamjaelewa ni kwa nini watu wamekuwa wakilalamika huhusu kushuka kwa kiwango cha elimu.
  • Inasekitisha sana, serekali mnayoishabikia, imeshindwa kuzuia ajali mbali mbali kwa sababu tu hakuna alama za barabarani lakini Picha za Chagua CCM, Chagua Kikwete kila pembezo mwa barabarani tena ni kubwa zaidi na zimetumia gharama kubwa zaidi kutengenezwa.
  • Inauma pale mnaposhabikia vituo vya afya kukosa dawa, au hata jokofu dogo la kuwekea dawa na chanjo mpaka tiombe misaada wakati huyu Mama anaitwa SALMA anatumia zaidi ya Tzs 25m. kwa saa tano.

Tuamke, tufanye mabadiliko. Tuchague mtu atakayedhubutu kubadili mfumo wa utendaji wa serekali ili kila mtu aweze pata fulsa sawa!

ACHANA NA KIKWETE, CHAGUA VIONGOZI MAKINI!!!
 
Back
Top Bottom