Wamiliki wa BMW Shikamooni

Duh!
Screenshot_20200301-172511_Google.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
BMW uzuri wake uimara na kutulia barabarani lakini hazina finishing ya kuvutia, hata ndani ukianzia dashboard, viti na maeneo mengine hazikamatiii brevis...

Ila ukiwa unaiendesha inavyotulia kwa barabara na ile kuchanganya mwendo upesi ndio mzuka wenyewe.

Hii ni kwa uzoefu wangu wa 320i
 
Kitu chochote kizuri kina gharama kukimiliki na kukitunza! Mfano: mke mzuri, nyumba nzuri, shule nzuri, kuishi mitaa mizuri, n.k. Mimi pamoja na gharama ya kuzumiliki hizi gari najisikia comfortable nikiwa barabarani kila mtu anapay attention na nikienda mahali nikapaki atakaye kuja kupaki karibu yangu lazima apaki kwa adabu na kuniachia nafasi ya kutosha nikitaka kutoka. Huwezi kuta mtu kapaki BMW/Benz alafu mtu akaja kupaki nyuma yako!


Sure...mie mwenyewe nimejikuta naheshimika tu bila sababu za msingi! Ukiona mtu kapaki kibabe huyo sio yake wala hana gari
 
Wakati huo huko nchi zilizoendelea wanawaona watu wanaoendesha BMW Kama loser fulani HV.

Angalia comments
 
Kwa experience yangu ya kua fundi wa european cars hasahasa(bmw,benz).
Bmw ni magari mazuri sana yakiwa mapya lakini ukipata used litakusumbua sana kwa service kutokana kuharibika haribika,german cars are overengineered hivo tatizo dogo tu linazingua gari.wengi wanaweza ku afford kununua ila sio kulitunza.

Mtu anaemiliki german car ambalo linatembea barabarani mpe heshima yake maaana linamcost
Ni kweli kulinunua ni rahisi sana ila runing cost zake si mchezo kabisa. Kila kitu chake ni ghali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom