Wamakonde ni noma

Mkuu nitake radhi aiseee, haiwezekani unitukane kiasi hiki. ndo shida ya kuwa localised mithili ya mti, yaani kila reference unayoifanya iko centred na dsm pekee. kama ni sifa ulizotaja hapo juu mbona ziko karibu maeneo yote ya nchi hii! open up your mind and think outside the box!

hahaha baba sifa zipo nchi nzima lakina wamakonde mmezidi mara mia.pole sanaaa babaa.
 
Uchichimame wala uchikae. Uchiheme wala uchicheme la chivyo naachia nchale.
 
Mkuu nitake radhi aiseee, haiwezekani unitukane kiasi hiki. ndo shida ya kuwa localised mithili ya mti, yaani kila reference unayoifanya iko centred na dsm pekee. kama ni sifa ulizotaja hapo juu mbona ziko karibu maeneo yote ya nchi hii! open up your mind and think outside the box!


kumbe na wewe ni mmakonde! mtanio huyo unalalamika nn??
 
Wamakonde ni noma,
katika kuwafukuza wamakonde ambao walikuwa wamezagaa town bila kazi serikali iliamua kutumia mbinu ya kuwauliza maswali ili kuwabaini coz walikuwa wamejichanganya na raia wengine. Wakakutwa wamakonde wanne wamekaa pamoja, kazi ikaanza;
Askari: wewe kuja hapa, jina lako nani?
Mmakonde wa kwanza; mini naitwa Achumani (akachukuliwa wakamtupa kwenye karandinga),

wa pili akaulizwa akajibu " mimi naitwa ucheni (yaan hussein) nae akaingizwa kwenye ndinga.

Yule wa tatu alipoulizwa jina akastuka, akawaza akilini kuwa ukitaja jina unakamatwa, so alipoulizwa wewe unaitwa nani, akajibu " chichemi jina langu chacha maana mnataka kunikamata na mimi kama achumani na ucheni" nae wakamsweka kwenya karandinga.

Huyu wa nne akjisemea moyoni mi wakiniuliza nakaa kimya sijibu tuone kama watanikamata, alipoulizwa akakaa kimya, kaulizwa kama mara tatu kimyaaa. Askari wakaambiana kuwa huyu tuachane nae anaonekana sio mmakondo. Ile wamemuacha wanaondoka tu, jamaa akawashukuru kwa kusema " achante chana achkari kwa kuniacha huru" nae wakamsweka ndani. Hizi lafudhi ni noma aisee

Jock ni nzuri sana ila inaleta ukabila so ni vyema kucreate utami usiokuwa na ubaguzi wa dini wala kabila
 
Chitupidi kabicha ! Unantania Nyerere wa awamu ya tatu ?!
Hii chi chawa..........
(Nyerere = raisi ).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom