Wamachinga wasababisha sintofahamu jijini mwanza

Nimeona Picha za Machinga Mwanza Katunews inapatikana kwa Link hii; wwwkatunews.blogspot.com
 
Mkuu hata hilo hapo kwenye Bold sidhani kama lina tofauti sana na alilotumia jamaa nadhani zote ni Slang au unaweza kunipa maelezo zaidi....

Angalia Kamusi ya Kiswahili Fasaha, Baraza la Kiswahili Zanzibar, (BAKIZA) Oxford University Press 2010, uk 172
 
Gazeti moja la mwanza limeandika kandoro atofautiana na mkurugenzi wa jiji (kabwe) inaonekana kandoro alikubali wamachinga kufanya shughuli zao eneo la makoroboi ambalo liko maeneo ya mjini lakin mkurugenzi kachomoa.

You know what is happening in Stone Town, MZA??

Kwa Great Thinkers hili jambo ni pre-planned na CCM(Chama Cha Majambazi).
Kwamba CCM wana HASIRA NA CHADEMA KWA KUCHUKUA UBUNGE NA UMEYA JIJINI MWANZA. Kwa hiyo CCM KWA MAKUSUDI KABISA WAKIMTUMIA MKURUGENZI WAO BW. KABWE WAMEAMUA KUWACHONGANISHA WAMACHINGA NA VIONGOZI WA JIJI MEANING MEYA-CHADEMA,WABUNGE 2-CHADEMA NA MADIWANI ZAIDI YA NUSU-CHADEMA.

KWA KUFANYA NJAMA HIZI CCM WANATAKA KUUONYESHA UMMA WA WA-TZ KUWA CDM HAWAWEZI KUONGOZA WALA KUTAWALA!
HILI LIKO WAZI KABISA KWASABABU SIKU CHACHE ZILIZOPITA RC-KANDORO AKIWA NA WABUNGE WA CHADEMA,ILEMELA NA NYAMAGANA WALIAFIKI KUWA WAMACHINGA WATAFUTIWE MAENEO HAYO HAYO WANAMOFUKUZWA KWA SASA. MHE. WENJE AMENUKULIWA AKISEMA HAAMINI KATIKA KUWAHAMISHIA CHINGAS KWENYE MAENEO AMBAYO HAYANA WATE JA WHICH IS VERY RIGHT!!!

Mimi nasema hivi:CCM waache ushenzi huu wa kutaka kuvuruga watu kwa visingizio vya kipuuzi ili tu ionekana kuwa CHADEMA wameshindwa kuongoza jiji. CCM wajue kuwa MAADAMANO YA TUNISIA YALIANZA KWA ASKARI KUMNYANG'ANYA BIDHAA TENA MCHICHA KIJANA(GRADUATE) ALIYEKUWA AKIFANYA BIASHARA HIYO YA KIMACHINGA ILI KUJIPATIA RIDHIKI. YULE KIJANA ALIAMUA KUJIUA KWA HASIRA NA HAPO AKAAMUSHA ARI ILIYOPELEKEA MAANDAMANO YA KUUNG'OA UTAWALA WA BEN ALI.

HIVO SHIME MGAMBO NA FFU WA JIJI LA MWANZA,ACHENI MARA MOJA UJINGA WA KUTUMIWA NA CCM KWA MANUFAA YAO HUKU NYIE MKICHOCHEA HASIRA ZA WA-TZ. ACHENI MARA MOJA KUDADADEKI!
 
Back
Top Bottom