Wall Screen Technology

moreen mollo

Member
Feb 21, 2013
13
5
Ndg wadau ninaomba kuoata uelewa wa Hii technology ya Wall screen maana kuna sehemu nataka kuitumia..

Ninaomba msaada wenu kujua mambo yafuatayo:
1. Upatikanaji wake
2. Gharama yake
3. Meintenance yake ikoje
4. Na je ina quality ya kuweza kuonesha vzr?
NATANGULIZA SHUKURANI
 
Mfano wa hii
Screenshot_20230531_182935_Alibabacom.jpg
 
Back
Top Bottom