walioshindwa kura za maoni CCM kuhamia CHADEMA

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
[h=6]Bavicha Arusha
[/h][h=6]Wa kwanza kushoto ni Elirehema Kaaya,katikati ni Godbless Lema,na Kulia ni Wiliam Sarakikya,waliokosa kwenye kura za maoni,kwa sasa wanahaha kurudi CHADEMA,hapa walikuwa kwenye kikao[/h] wakuu imekaaje hii nimekuta huko facebook.
 
Kwani mwanzoni walikuwa cdm?kama ndivyo hawafai,inaonekana wana uchu wa madaraka.
 
wanataka nini hao,sio wapiganaji wa kweli,labda tuwatumie kuchukua jimbo halafu tuwapige chini
 
Time will tell,ukweli tabia ya chama chao imewadissapoint sana wa CCm so lolote linawezekana
 
Hii itakuwa ni ajabu sana maana hata uteuzi wa mgombea bado? Wanatakiwa kuwa wavumilivu pengine mmoja wao anaweza kuteuliwa, maana ushindi katika kula za maoni haimaanishi kuwa ndiyo atateuliwa kulingana na taratibu za CCM japo ni hatua muhimu pia kuelekea uteuzi.
 
Wakija wawe wapole, na si watake uongozi!..sisi tushamgroom mtu kwaajili ya Arumeru tayari!...Nassari!
Walikuwa Bar gani hapo pichani?..Nimeona Valuer kwenye glasi!:tongue:
 
Bavicha Arusha


Wa kwanza kushoto ni Elirehema Kaaya,katikati ni Godbless Lema,na Kulia ni Wiliam Sarakikya,waliokosa kwenye kura za maoni,kwa sasa wanahaha kurudi CHADEMA,hapa walikuwa kwenye kikao

wakuu imekaaje hii nimekuta huko facebook.

Tunawakaribisha Chadema, lakini si kwa nia ya kutaka wagombee ubunge katika uchaguzi mdogo wa arumeru mashariki.

Wawe tayari kukitumikia na kukijenga chama hadi hapo nafasi nyengine zitakapopatikana, basi wataweza kushiriki kikamilifu. Kwa wakati huu wagombea waliokuwa ndani ya chama ndio nafasi yao, nami bila shaka ninatarajia wanachama wa arumeru mashariki watampitisha kijana Nassari kubeba bendera ya chama. Na kwakuwa uongozi wa juu wa bavicha unakwenda huko arumeru kuwasha moto, basi kuna asilimia kubwa ya kuibuka na ushindi.
 
Back
Top Bottom