Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,746
- 218,338
Taarifa zilizopo zinaonyesha kwamba walioondolewa na wanaotarajiwa kuondolewa Tanesco wamepatwa na furaha ya ajabu , kinyume na matarajio ya wengi waliodhani kwamba labda Waenda zao hao huenda wangesononeka .
Furaha hii ni Ishara ya wahusika kuondolewa kichwani mwao Gunia la misumali , haiwezekani mtu aliyehamishwa kazi , kubadilishwa kituo cha kazi au kuondolewa kabisa awe na furaha , iweje hawa wa Tanesco wawe na amani kiasi hiki , Pana nini hapo Tanesco ?
Muonekano wa wahanga hao kwa macho ya kawaida tu ni sawa na Watumwa wa Muda mrefu ambao wamefunguliwa Minyororo ya Chuma miguuni na mikononi , wamejaa Matumaini Kibao .