Waliofanya udanganyifu mitihani ya taifa mwaka 2011 wachukuliwa hatua.

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Walimu wakuu, wasimamizi wa mitihani na wamiliki wa shule waliojihusisha na udanganyifu wa mitihani katika shule za msingi na sekondari wamechukuliwa hatua mbalimbali zikiwemo kuwafutia wanafunzi matokeo, kusimamisha udahili wa wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa baadhi ya shule binafsi, kuwafikisha baadhi ya wakuu wa shule, wamiliki wa shule na wasimamizi wa mitihani katika vyombo vya sheria n.k.

Source: Kauli ya Waziri wa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi bungeni leo.
 
Hayo ni maneno tuu ni sawa na mbwa kibogoyo au nyoka wa maonyesho coz hakutakuwa na madhara yeyote.
 
Back
Top Bottom