Waliochoma shule kaisho karagwe wafukuzwa kazi.

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
900
Sakata lililotikisa sekta ya elimu mkoani kagera mwanzoni mwa mwaka huu limechukua sura nyingine baada ya wafanyakazi 9 kufukuzwa shule. Watu hao wanatuhumiwa kwa ufisadi na kuficha madhambi ya utawawa wa mkuu wa shule aliyekuwepo pamoja na UCHOMAJI MOTO WA MABWENI 2 YA WANAFUNZI. Licha ya takukuru kutoa ushirikiano mbaya wa kuwalinda watuhumiwa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga limewafuta kazi walimu watano akiwemo aliyekuwa Makamu wa shule na wafanyakazi wengine wanne.

HONGERA KANISA KWA KUTOFUMBIA MACHO UOVU
 
Unaweza kutupatia majina yao tafadhali kama umeyapata. Unajua mimi ni mdau kwa kuwa ni ndugu wengi wanasoma hapo. Je hali ya taaluma itakuwaje? au bado wamebakiza walimu wa kutosha?
 
Unaweza kutupatia majina yao tafadhali kama umeyapata. Unajua mimi ni mdau kwa kuwa ni ndugu wengi wanasoma hapo. Je hali ya taaluma itakuwaje? au bado wamebakiza walimu wa kutosha?

Nadhani mtoa taarifa alikuwa pale kwenye hotel ya Katagira ili kupata network. Usitegemee kujibiwa leo.
Mshukuru kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom