admission letter zimeshatoka?2juzane broz....
ume2miwa kwa njia ya poster,?nielezee jinsi ya kuipata koz naenda poster ckut chochote.
yes kaka,kuna wengne kwenye box zao hawaja indicate ni wapi walipo mf. Box 12,so imeleta usumbufu kuna jamaa yangu imebidi akachukue chuo,so kama uko karibu fanya mchakato wa kwenda chuo by the way kesho nina safar ya kwenda chuo so nitajaribu kuulizia.
mkuu hayo majibu ni ya degree au? mdogo wanguamesoma diploma hapo na ameomba kujiunga na degree lakin hajapata majibu..ni kweli yametoka? chuo hakina website tuangalie?
yes kaka,kuna wengne kwenye box zao hawaja indicate ni wapi walipo mf. Box 12,so imeleta usumbufu kuna jamaa yangu imebidi akachukue chuo,so kama uko karibu fanya mchakato wa kwenda chuo by the way kesho nina safar ya kwenda chuo so nitajaribu kuulizia.
thanx bro@appex
Wakuu bado cjapata mwafaka,jina halionekani web ya chuo tcu walinitel watayatuma chuoni lakini mpaka ss sioni badiliko,kwa anayefaham anijulishe,lini nitapata joining instruction?na ni 1st round sio 2nd