Walio itwa kwenye usaili wa Uhamiaji.,

Status
Not open for further replies.
Aisee mkuu,kama unaweza kupost hayo majina hapa,tafadhali fanya hvyo!
 
Majina Yapo Ukurasa Wa
6 Na 7....Kavp Nipe Jina Lako
Nkucheki Ka Umetokea Then
NTAKUIN4M! kiroho Safi Kbsa!
 
waungwana mwenye soft copy atutandazie hapa jamvn il tusio na access na magazet atusaidie. pls
 
mi nimeshndwa kuyaweka sababu nafasi za Graduate 9 wameita watu 36, zile za form iv nafasi 31 wameita watu 74.kama c 64..hongeren mlioitwa
 
Mwenye kuweza kuweka hapa hayo majina atusaidie wengine hatuwezi kupata hilo gazeti kutokana na mazingira tuliyopo!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom