mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 371
- 971
Vijana mlioomba kuingia TAKUKURU Majina ya kuitwa kwenye Usaili yametoka kwenye Website
Sasa mkajaze Aziz Ki na Pacome kwenye Usaili
Sasa mkajaze Aziz Ki na Pacome kwenye Usaili
Duuh,sasa kama hata APTITUDE TEST hujui ni changamoto tayari,vijana wa siku hizi mnasomaga nini huko mashuleni?anyway usumbue ubongo kidogo kwa ku-google utapata maana yakeHizi aptitudes test ndio ikoje aisee
Mkuu kama una hoja ya msingi usiwe unachangia uwe unakausha tu. Sasa huo mdomo wako wa nn hapa.Duuh,sasa kama hata APTITUDE TEST hujui ni changamoto tayari,vijana wa siku hizi mnasomaga nini huko mashuleni?anyway usumbue ubongo kidogo kwa ku-google utapata maana yake
kama hujui APTITUDE TEST ni nini usipoteza nauli yako kwenda kwenye huo Usaili DodomaMkuu kama una hoja ya msingi usiwe unachangia uwe unakausha tu. Sasa huo mdomo wako wa nn hapa.
Ni usaili wa mandishi. Yaani mnapewa km mtihani mnafanya kisha mnakusanya wanasahisha, watakaofanya vzr wanaitwa usaili wa mdomo (oral interview).Hizi aptitudes test ndio ikoje aisee
Hii mkuu si kama utumishi ile mitihani yao . Mfumo ni ule ule au ndio zina mpangilio tofauti.Ni usaili wa mandishi. Yaani mnapewa km mtihani mnafanya kisha mnakusanya wanasahisha, watakaofanya vzr wanaitwa usaili wa mdomo (oral interview).
Kama unajua kuhusu hizi test za pccb ni swala la kumuelimisha mtu kirahisi tu.kama hujui APTITUDE TEST ni nini usipoteza nauli yako kwenda kwenye huo Usaili Dodoma
Kama unajua kuhusu hizi test za pccb ni swala la kumuelimisha mtu kirahisi tu.
Ila nakuona wewe mkuu una swaga kama za wa mama wa uswahilini ambao awana kazi zaidi ya kukaa vibarazani na kukejeli maisha ya watu.
Manara na , ZaylisahMkuu kama una hoja ya msingi usiwe unachangia uwe unakausha tu. Sasa huo mdomo wako wa nn hapa.
Free au na pesa?Anayetaka soft copy ya kitabu cha aptitude test Karbu pm
Not free boss sjapata free kuchangia kdgoFree au na pesa?
Kaanacho utakitimia wewe na wanao.Not free boss sjapata free kuchangia kdgo
wajerumani mnaroho ngumu khaa 🤣 🤣 🤣Kaanacho utakitimia wewe na wanao.
Roho kama hizi ni mzigo kwa Taifa