First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
tembelea www.moe.go.tz
Inasumbua sana kuload sijui kuna tatizo gani?
yah inasumbua sana, nafikiri ni kutokana na mtandao kuwa busy sana. Wamerealise kwenye mida ya sa moja. Mpaka kesho itakuwa fresh.Iyo kitu ina error,inafunguka mpaka page 13 tu!
dah mkuu umenishtua mana kuna dogo wangu anawait results yake ya Necta dip may 2011.yah inasumbua sana, nafikiri ni kutokana na mtandao kuwa busy sana. Wamerealise kwenye mida ya sa moja. Mpaka kesho itakuwa fresh.