Kunamuingiliano katika ngazi ya diploma na degree Kwenye course ya wildlife and management?

mkomb

Member
Aug 31, 2023
21
31
Habari zene Wana jukwaa. Ninaombeni ufafanuzii katika maada tajwa hapo juu nikiwa namaana kwamba, mfano umegraduate ngazi ya degree katika course tajwa hapo juu ukakosa shavu la ajira ngazi ya degree je unaweza apply kazi ngazi ya diploma kama kukiwa na nafasi za diploma zimetangazwa mfano park rengers ilhali yakuwa unacheti cha degree pekee?

Ninatumaini maada imeeleweka ninaomba kuwasilisha.
 
Inawezekana kabisa Kama huna cheti cha diploma na una cheti cha degree unakichana katikati kimoja kinakuwa diploma na kingine degree
 
Hiyo haiwezekani mkuu

Kwanza kabisa mafunzo ya Basic certificates/ Tecnician certificates ambao ndio baadae wakihitimu wanaajiriwa kuwa Game Rangers/Park Rangers ni tofauti kabisa,
 
Back
Top Bottom