Walimu wapya 23027 wadang'anywa na serikali

MWL MTZ

Member
Aug 12, 2011
39
2
serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne Sagini walitoa kauli kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 06 November 2011 walihaidi kuwa kufikia tarehe 15 november majina ya walimu hao yatakuwa yametangazwa na vituo vyao vya kazi. LAKINI MPAKA HII LEO JIONI HAKUNA WEBSITE YOYOTE ILIYOTOA MAJINA HAYO WALA VITUO VYA WALIMU HAO ,

NA HIZI NDIZO KAULI ZA SERIKALI KWA KILA JAMBO HAPA NCHINI.
 
Juzi au jana asubuhi kulikuwa na kipindi cha magazeti nafikiri kuwa serikali imesema itaajiri walimu 23,000 mwaka ujao wa fedha means 2012/213 ebu waliosikia hiki kitu nao watujuze labda nimesikia vibaya
 
hebu tafta utuwekee hapa bwana we si ndo uko jiran na hao watu wa media,
 
Tatizo letu watanzania tumebweteka na ajira za serikali hebu wakati mwingine tujaribu hata kuvuka "boarder" kama walivyo wenzetu waganda na wakenya ni mtazamo wangu lakini!
 
Back
Top Bottom