Mikoa gani hiyo. Tetesi zimezagaa walimu wanaondolewa ndio maana mpaka sasa majina bado baadhi ya mikoa. Sensa ya mwaka huu ni batili mara waislamu kugomea, mara waalimu kuondolewa. Ngoja tuoene shughuli za dhaifu.
Acha wawatoe,wataingia wengine kuna vjana lukuki wamemaliza vyuo this time around acha nao wafaidi cake ya Taifa japo sehemu kubwa inaliwa na big brass wa ccm
Manispaa moja huku kusini,walimu walio wengi hawakuchanuliwa,ila madiwa ndungu zao,watoto wao, watendaji na wapiga kura wao wameja katika zoezi hili la sensa,rushwa kwa sana,subirini madudu ya sensa mwaka huu.
kitu kingine nachofahamu katika serikali iliyopo madarakani haipo makini kwasababu mgomo wa walimu haukuwa na usiano na sensa you can lie people sometime but not all the time. time will tell
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.