Walimu waanza mgomo, serikali yaenda mahakamani, mahakama yazuia mgomo

Why?. Mwalimu wakati anasaini fomu za mkataba wake wa kazi hakuusoma vizuri kuhusu malipo na malupulupu yake?. Kwanini leo agome?. Kama hawezi kufanya hiyo kazi ache mara moja hakuna sababu ya kuumizana vichwa.

Jaribu kuandika kitu ambacho kina maana kwa jamii sio kukurupuka tu husisha pia ubongo wako
 
Mh Raisi, naomba fukuza kazi waalimu wote watakaogoma bila kuchelewa. tuna vijana wengi wako mitaani hawana kazi pamoja na elimu zao.
 
Hivi wabunge wanavyojiongezea Mishahara mpaka 10,000,000/= wakati mwalimu anapokea 200,000/= Hii ni sawa?
WALIMU GOMENI SANA MI NAWASAPOTI ASILIMIA 99999%
 
Karne ya ndiyo Mzee inakwenda kwisha! Muda wa Watu kutumia vyeti ambavyo si vyao ilikuwa karne hizo sasa hivi watu wana nyundo zao bhana Polisi endelea kushikilia zama hizo uone anguko lake Modern Teachers wanatumia vyeti vyao! UMET ipo njian mbadala wa CWT apo ndipo utaja kuappriciate kuwa Wito si wito tena! Poleeni sana Waalimu na Mkoba wenu anaetumainisha na mwisho wa siku Kushoto Kulia
 
Ukweli walimu mgomo upo tangu kitambo sana. Evidence tazama matokeo ya wanafunzi kila mwaka. Mgomo passive ni hatari zaidi than active....
 
Why?. Mwalimu wakati anasaini fomu za mkataba wake wa kazi hakuusoma vizuri kuhusu malipo na malupulupu yake?. Kwanini leo agome?. Kama hawezi kufanya hiyo kazi ache mara moja hakuna sababu ya kuumizana vichwa.

wanagoma kwasababu ya ma**** yako. nyie ndio mnaotafutiaga wengine ban. ukiuliza vizuri huyu utakuta anye ni mtoto wa mwl
 
Hawawezi. Watagawanyika vibaya mno. Ngoja serikali ianze uhakiki wa vyeti uone watakavyokuwa wapole

kamanda una akili kama mchwa! nani agome? kwa ubavu upi, wakati wana vyeti vya kufoji? pumbavu sana hawa
 
Serikali ya JK ikubali isikubali mgommo uko palepale,maslahi ya walimu lazma yajaliwe hakuna yeyote aliyefika/aliyepo mahali alipo bila kupitia kwa mwl.
Hata JK na mawaziri wake wasingekuwa hapo kileleni kama sio walimu!
Iweje serikali ya TZ iwabeze waliumu ambao ndio chanzo cha Kitu?
 
Last edited by a moderator:

kamanda una akili kama mchwa! Nani agome? Kwa ubavu upi, wakati wana vyeti vya kufoji? Pumbavu sana hawa

mimi kinachoniudhi ni watu kugoma eti wanajilinganisha na tabaka fulani. Ooh mbona wabunge wanapata hivi, ooh mbona hawa wanapata hivi n.k. Kila mtu akumbuke wakati anaanza kazi walikubaliana vipi na mwajiri wake? Suala la madai ya walimu linafanyiwa kazi kwa kuweka utaratibu mpya wa kuyazuia yasitokee tena. Madai mengine siyo halali na walishaaambiwa. Cwt kazi yake ni kuwa kiungo kati ya walimu na serikali, kama wameshindwa kuishawishi nao hao viongozi hawafai, wajiuzulu
 
Hili la mwalimu kuuza vitafunio break time nimeliona Tanzania tu na ni kielelezo tosha ya mishahara duni isiyokidhi mahitaji. Poleni walimu tupo pamoja.
 
Mahakama nanyi gomeni tuone serikali itaenda wapi. Kwani nyie mahakama mnapata maslahi gani mazuri? ukiondoa kuwakamua wateja wenu. Siku watu wakiamua kusuluisha migogoro yao kwa njia za majadiliano mtaumia sana.
 
Ni muhimu kwa walimu na wafanyakazi wengine kama polisi na jeshi kugoma maana nao wananyanyasika sana na hapa wataonesha namna serikali ya awamu ya nne isivyo makini.
 
Why?. Mwalimu wakati anasaini fomu za mkataba wake wa kazi hakuusoma vizuri kuhusu malipo na malupulupu yake?. Kwanini leo agome?. Kama hawezi kufanya hiyo kazi ache mara moja hakuna sababu ya kuumizana vichwa.

Hebu post huo mkataba hapa tuujadili!!!¿¿¿¿
 
Why?. Mwalimu wakati anasaini fomu za mkataba wake wa kazi hakuusoma vizuri kuhusu malipo na malupulupu yake?. Kwanini leo agome?. Kama hawezi kufanya hiyo kazi ache mara moja hakuna sababu ya kuumizana vichwa.
usiseme hivyo mkuu!

Watz wengi tunakuwa 'result oriented' badala ya kuangalia inputs na investments zilizofanyika kupima hizo results na sio ajabu kusikia mwanasiasa (waziri/kiongozi) akisema tumejenga shule elfu kadhaa, barabara kilometa kadhaa, zahanati kadhaa lakini bila kuangalia productivity yake au kulinganisha kuwa wenzetu ambao walifaya vitu kama hivyo hivyo walitumia robo (1/4) ya gharama tulizotumia sisi kufanya kitu hicho hicho!

Katika suala la walimu, labda wangesikilizwa tangia mwanzoni Tanzania isingekuwa listed kwenye 'maajabu ya dunia' kwa watoto wa Form IV (darasa la kumi na mbili - miaka 2 [nursery] + miaka 7[msingi] + miaka 4[sekondari]) kumaliza shule bila kujua kuandika na kusoma. Hayo ndiyo matokeo ya siasa na dharau katika elimu.
index.html

Nanukuu"Tatizo lolote haliwezi kutatuliwa na aliyelisababisha" Mwisho wa Nukuu.........Mhe.Mch Msigwa Bungeni Dodoma.
 
kweli tanzania hakuna serikali ,kila jambo mahakamani,dhaifu fassion amashindwa kuongoza sasa anatawala kwa kutumia polisi,mahakama kitakachofuata jeshi,ni aibu mtupu,tutaona mengi miaka mitatu ijayo
 
kweli tanzania hakuna serikali ,kila jambo mahakamani,dhaifu fassion amashindwa kuongoza sasa anatawala kwa kutumia polisi,mahakama kitakachofuata jeshi,ni aibu mtupu,tutaona mengi miaka mitatu ijayo
na sio ajabu yakatokea kama haya!!!
newattachment.php
 
Attachments

  • cart01px.gif
    cart01px.gif
    33.5 KB · Views: 36
Back
Top Bottom