Walimu waanza mgomo, serikali yaenda mahakamani, mahakama yazuia mgomo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Serikali imeamua kwenda mahakamani kuzuia mgomo wa walimu na kutolewa amri ya kutogoma na mgomo kuwa hauna uhalali na wakigomo hatua ya kinidhamu itachukuliwa dhidi yao.

Concern

Mahakama ishakuwa kichaka cha serikali na imewekwa mfukoni.
 
Hii ndoa ya serikali na mahakama siku moja italeta balaa kwa taifa. Kwanini wananchi wote wasiigomee serikali tuone kama mahakama itawashurutisha wote?
 
wananchi ni zaidi ya mahakama, km hatukubaliani na uamuzi wa mahakama, tutaingia mtaani full stop
 
Hii kali imetoka lini tena mm imenipita kando maana mke wangu ni Mwl hana habari na simshitui mpaka mnipe Source
 
I support the teachers!

Why?. Mwalimu wakati anasaini fomu za mkataba wake wa kazi hakuusoma vizuri kuhusu malipo na malupulupu yake?. Kwanini leo agome?. Kama hawezi kufanya hiyo kazi ache mara moja hakuna sababu ya kuumizana vichwa.
 
Kwani urais wa JK si hauna ubia na mtu?? au ndo mahakama inaubia nae
 
Serikali imeamua kwenda mahakamani kuzuia mgomo wa walimu na kutolewa amri ya kutogoma na mgomo kuwa hauna uhalali na wakigomo hatua ya kinidhamu itachukuliwa dhidi yao.

Concern

Mahakama ishakuwa kichaka cha serikali na imewekwa mfukoni.

Siku mahakama wakigoma watakimbilia wapi?
 
Back
Top Bottom