Walimu wa shule za kata jiandaeni kuwafanya wataalamu wa kuchagua Hesabu wataalamu wa kukokotoa.!

Mdau Makini

Member
Sep 18, 2012
70
10
Teknolojia sasa imefanya Elimu ya Tanzania kuwa kama Michezo ya Juma na Uledi.sasa Hawa wanafunzi ambao ni wataalamu wakuchagua Hesabu, huyu mwalimu wangu wa shule hizi za kwetu ambazo ukipeleka Ada(karo) unarudishiwa na change atawezaje kuwafanya hawa wanafunzi wataalam wa kukokotoa Hesabu??,hapo shuleni kitabu chenye kimoja, na mwalimu mwenyee wa Temporally(ametoka Form Six) eti ili tupate urahisi wa kusahisha...Inawezekana Hesabu za siku hizi zipo straight to answer??..Naomba mnieleweshe jamani zile shule za kata itakuwaje wadau(waheshimiwa)????
 
Back
Top Bottom