Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,046
- 7,450
Did she take my pen?She took my pen.(add question tag)
Did she take my pen?She took my pen.(add question tag)
She took my pen.(add question tag)
Mimi kuna h/w zinanipaga shida mpk nagoma kunsaidia mtoto
Juzi mtoto anakuja na swali " mtotoa aliyezaliwa akiwa na meno anaitwaje?" Nimegoogle sipappt jibu aisee
Mkuu,Always sio verb ni adverb of frequency (HOW OFTEN THE ACTION IS DONE) so kanuni ni zile zile kwenye simple present tense nafsi ya tatu umoja (he,she,it,juma,ana) tutaongeza (es/s/) kwnye verb..
Kwahiyo jibu ni (always she reads a calendar)
Kwa msaada wa kujifunza tense kwa gharama nafuu njoo inbox..
Usipoelewa basi nakurudishia Hela yako
She took my pen.(add question tag)
Always I like you.
Always I likes you.
Hii ni kwa mujibu wa Cambridge ya huko ungalimited?Always I like you.
Always I likes you.
Umenikumbusha mbali sana. Nilipokuwa primary miaka ya 2000 ndivyo tulivyokuwa tunaelekezwa ila kiuhalisia, uwepo wa maneno kama often, normally, always n.k haubadilishi msingi wa Syntax ya sentensi. Hivyo reads kwenye hiyo sentensi ndio best option.Nilikuwa naangalia kazi za ndugu yangu hapa darasa la sita kuna kitu kimenitatiza kidogo.
ni kipengele cha Simple present tense. Swali wameulizwa
always, she.......calendar.
mwalimu anasema jibu ni "read" yaani inabaki original verb kwa sababu ya uwepo wa neno always mwanzoni mwa sentensi. Kwa kukazia anasema ukiona maneno kama often, normally,everyday, n.k mwanzoni mwa sentensi basi inabaki original verb.
Je ni sahihi?
si kwa hisani ya WAGPT kweli binti yangu
Simple consecutive tense? Nimgependa kujua pia duuh kuna kila aina ya tenseMkuu,
Naweza kupata mfano wa Simple consecutive tense?
Consecutive verbs..sio consecutive tense...Mkuu,
Naweza kupata mfano wa Simple consecutive tense?
Mkuu una darasa online? Naomba ajira niwe nakusaidia ukiwa bizeAlways sio verb ni adverb of frequency (HOW OFTEN THE ACTION IS DONE) so kanuni ni zile zile kwenye simple present tense nafsi ya tatu umoja (he,she,it,juma,ana) tutaongeza (es/s/) kwnye verb..
Kwahiyo jibu ni (always she reads a calendar)
Kwa msaada wa kujifunza tense kwa gharama nafuu njoo inbox..
Usipoelewa basi nakurudishia Hela yako
Ndio ninalo, nicheki inboxMkuu una darasa online? Naomba ajira niwe nakusaidia ukiwa bize
She tookn't ??
So far hii ni best comment kwangu 2023 🤣🤣🤣
JF iishi jamani 🙌🙌