Walimu wa english naomba msaada kidogo hapa.

Mimi kuna h/w zinanipaga shida mpk nagoma kunsaidia mtoto
Juzi mtoto anakuja na swali " mtotoa aliyezaliwa akiwa na meno anaitwaje?" Nimegoogle sipappt jibu aisee
 
Always sio verb ni adverb of frequency (HOW OFTEN THE ACTION IS DONE) so kanuni ni zile zile kwenye simple present tense nafsi ya tatu umoja (he,she,it,juma,ana) tutaongeza (es/s/) kwnye verb..
Kwahiyo jibu ni (always she reads a calendar)

Kwa msaada wa kujifunza tense kwa gharama nafuu njoo inbox..
Usipoelewa basi nakurudishia Hela yako
Mkuu,
Naweza kupata mfano wa Simple consecutive tense?
 
Nilikuwa naangalia kazi za ndugu yangu hapa darasa la sita kuna kitu kimenitatiza kidogo.

ni kipengele cha Simple present tense. Swali wameulizwa

always, she.......calendar.

mwalimu anasema jibu ni "read" yaani inabaki original verb kwa sababu ya uwepo wa neno always mwanzoni mwa sentensi. Kwa kukazia anasema ukiona maneno kama often, normally,everyday, n.k mwanzoni mwa sentensi basi inabaki original verb.

Je ni sahihi?
Umenikumbusha mbali sana. Nilipokuwa primary miaka ya 2000 ndivyo tulivyokuwa tunaelekezwa ila kiuhalisia, uwepo wa maneno kama often, normally, always n.k haubadilishi msingi wa Syntax ya sentensi. Hivyo reads kwenye hiyo sentensi ndio best option.

Pili always haipaswi kukaa mwanzo wa sentensi, kanuni za Grammar zinakataza, hivyo hiyo sentensi ilipaswa kuwa; she always reads a calendar.

Hongera kwa kuwa mfuatiliaji. Endelea hivyo hivyo.. 👏
 
Namshukuru Mungu kwenye english structure niko fit hadi najishangaa. Mimi wakati nasoma nilijikita sana kwenye kuhakikisha nakimudu kiingereza bila kuwa na makosa ya grammar tofauti na wengi wenu. Sijui nianze kuwa naandika nyuzi kwa kizungu tu? Nimetupilia mbali hilo wazo kwa sababu CHADEMA wengi hawataelewa.
 
Always sio verb ni adverb of frequency (HOW OFTEN THE ACTION IS DONE) so kanuni ni zile zile kwenye simple present tense nafsi ya tatu umoja (he,she,it,juma,ana) tutaongeza (es/s/) kwnye verb..
Kwahiyo jibu ni (always she reads a calendar)

Kwa msaada wa kujifunza tense kwa gharama nafuu njoo inbox..
Usipoelewa basi nakurudishia Hela yako
Mkuu una darasa online? Naomba ajira niwe nakusaidia ukiwa bize
 
Back
Top Bottom