DOKEZO Walimu Shule ya Mpanda Day wanalazimisha wazazi tulipe hela ya ‘twisheni’ wakati wa likizo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tuliza komwe kama huwezi toa hiyo afu 10 huyo mtoto kaa nae akacheze bonanza na wavuta bange kama ni wa kike wamtie mimba ili akili ikukae sawa
 
Nimeamini Mpwayungu Village anahoja anaposema kuwa mwalimu ni laana.

Naomba kujua wataalam wa Elimu waliweka likizo kwa sababu gani? Ni kazi gani ambayo watu hawapumziki?

Walimu hamna kazi ya kufanya? Kama hakuna basi jifunzeni kupumzika!

Lakini pia kumbukeni watoto wanachoka sana waacheni wapumzike.

Serikali imetamka wazi elimu bila malipo.

Kama walimu wanaona wafundishe likizo wafundishe bila malipo. Na January lazima wafundishe. Maana kuna watoto wataopt kupumzika.
 
Back
Top Bottom