Walimu kutumia nguvu ya wanafunzi kesho

walimu waendelea kuhamasisha wanafunzi kujitokeza kwenye mgomo kesho dar kuwaka moto wanafunzi wataziba njia zote.

Mobilization yaendelea wakati huo huo serikali yaonya kupitia mh shukuru kawamba

kaazi imeanza
huyo kwawambwa alisoma wapi jamani duh,jamaa kilaza hawezi hata kujieleza.kila nkimwona huwa nawahurumia wanafunzi,maana mkuu wa wizara kilaza mikakati ya kuinua elimu itakuwa ya ukilaza kilaza tu.
 
Kosa kubwa litakaloangusha serikali hii, ni pale polisi watakapotumia nguvu dhidi ya wanafunzi *minors*. Jumuia ya kimataifa itaisakama sana the gorvenment.
 
huyo kwawambwa alisoma wapi jamani duh,jamaa kilaza hawezi hata kujieleza.kila nkimwona huwa nawahurumia wanafunzi,maana mkuu wa wizara kilaza mikakati ya kuinua elimu itakuwa ya ukilaza kilaza tu.[/QUOTEK

Kuna jamaa aliniambia, pale chuo kikuu ilikuwa afukuzwe baada ya kushindwa kazi, Bhati akawa amepata ubunge na baadae uwaziri. Sasa sijui kama ana sifa ya kuwa wazi wa elimu. Laba ni rafiki ya na baba Ritz.
 
Huu uongozi wa bulicheka. Yuko ikulu lakini hajui kwa nini? Basi awamu nzima hii inafaa kuitwa ze comedy.
 
Karate kid la kichina hilooo...ngoma ya watoto haikeshi hata siku 1!
Changa la macho tu, tushasahaulishwa yale mabilioni ya wale jamaa kule Uswis, Dr. Uli na madaktari etc!
Mgomo unaisha kabla ya Ijumaa, shule zote zinafungwa na kila kitu kinakuwa neutral tayari!
Chezea sIrikali wewe...!!!
 
Nimemsikia waziri Hawa akipakaza sumu kwa walimu asubui TBC na Katibu mkuu akizungumzia madai ya zamani ameshindwa kujibu madai mapya ya walimu, hii serikali ni Dhaifu mno ktk kushughurikia matatizo ya wananchi wake, sasa inatisha viongozi na kuwakamata viongozi wa CWT, Mbinu hizi hazitufikishi mbali na ni ukiukaji wa haki za binadamu
 
CCM ni majambazi,menyewe yanagawana pesa kibao, walimu wanadai haki yao baada ya kufanya kazi yanakimbilia mahakamani. Lakini iko siku tena inakaribia.
 
Back
Top Bottom