Walimu kupinga kauli za Udhalilishaji na ubaguzi kutoka kwa CHADEMA dhidi yao

Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale wapangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu walio ndani ya Chadema? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu, Bali hali hiyo itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo . Tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama ni kujidanganya Tu,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema, maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kikipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo Mahali ambapo hakuna ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake . kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani. Ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mliochukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Hao walimu walikuwa wamesimama wapi wakitoa hayo masikitiko bwana mdau? Mbona unakuwa mmbea mbea kama msimbe aliekataliwa dakika za mwisho kabla ya ndoa! Acha uongo 🥺🥺🥺🥺
 
Dunia ni kama kijiji kwa sasa. Hivyo mambo yote ni kiganjani pako.
 
Mwalimu anaesimamia uchaguzi ni mbwa tu akiambiwa zipite anakubali hawezi mkatalia boss wake kwani uongo si tunawaona kila chaguzi alafu wanajitoa sana na bado hawakumbukwi. Ukiwa mwalimu hapa bongo ww ni paka tu huna thamani. Na kama unawatetea inamaana lisu kasema uongo? Lisu kuapiga kwenye mshono waalimu kama manyumbu tu hawajielewi japo wanafundisha watoto wetu ila ni wajinga kupitiliza
 
Ucha matusi na dharau kwa walimu wetu
 
Walimu wanajitambua na ndio maana wamekataa kuwa makondoo wa CHADEMA.
Wanaojitambua wananyonywa na cwt.
Wanaojitambua ananyimwa hakinzao na wapo kimya.
Wanaojitambua wanaendeshwa hadi na madiwani.
Acha kusifia ujinga waalimu mibmambuzi kama chama chao cha mambuzi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale wapangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu walio ndani ya Chadema? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu, Bali hali hiyo itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo . Tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama ni kujidanganya Tu,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema, maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kikipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo Mahali ambapo hakuna ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake . kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani. Ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mliochukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
We jamaa Mjinga Kweli ndugu yangu, Yaani watu kuambiwa ukweli ndo wafedheheke? Wamezoea kulambwa visogo hao ndugu zako au Wanatetea maokoto yao kupitia Uchawa wa CCM?
 
Labda umezaliwa majuzi kiasi hukumbuki sarakasi za walimu walipo simamia chaguzi miaka ya nyuma.
 
Udhalilishwaji kwa walimu unafanywa na upinzani tena? Kivipi!
Kikokotoo ni cha mpinzani?
Kodi kubwa na makato kibao kwenye salary slip yameletwa na upinzani Kumbe.
NHIF wanakata na huduma imekuwa ya pesa mkononi nayo ni upinzani wameleta?
Unajua upinzani wanawalipa walimu kiasi gani mpaka kuwadhalilisha kwa maisha duni?
Tuendelee kusali
Vijana wengi wameleft group la kufanya kazi kwa Bidii na kuingie kwenye huu upande wa kutumia akili kisoda
 
Acha ujinga lucas!chadema haijawahi wadhalilisha walimu.bali chama chetu Kwa kuwadanganya ongezeko la mshahara 23.3% na kuwaaacha hoi huku mfumuko was bei juu,madaraja ya maumivu miaka Kunis daraja moja Hadi uchaguzi ukaribie ndio kikwete anasema eti Kuna madaraja ya mserereko!!

Huo ndio udhalilishaji Lucas Anza kwanza na chama chetu Kwa udhalilishaji kabla ya upinzani!

Walimu machozi ya uchungu yanawatoka Kwa udhalilishaji was kipato Toka CCM!!
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale wapangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu walio ndani ya Chadema? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu, Bali hali hiyo itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo . Tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama ni kujidanganya Tu,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema, maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kikipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo Mahali ambapo hakuna ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake . kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani. Ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mliochukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
A
 
Back
Top Bottom