Walimu kupinga kauli za Udhalilishaji na ubaguzi kutoka kwa CHADEMA dhidi yao

Ni kweli kuwa walio wengi humu wana akili timamu, wanachangia wakiwa na akili timamu na huru, isipokuwa wewe mjinga pekee yako ambaye unahaha kuandika upuuzi mwingi ili kuvizia uteuzi!

Hivi umejiridhisha kuwa huko Serikalini wanawataka watu wajinga, waongo na wanafiki?

Namba ya simu imeshindwa kukupa uteuzi, labda uongeze na jina la mtaa, yawezekana kukawa mahali wanatafutwa wajinga wanafiki, nawe ukafikiwa. Naona njaa imeharibu mpaka heshima ya ubinadamu wako!!
Sijui lina matatizo gani
 
Ndio maana mnadharauliwa yani muache andamana kudai maslahi yenu CWT mnandamana kwa kauli ya Lisu si uhayawani huo, mna vitu vingi vyakuvipigania kwa maslahi yenu na familia zenu hivi kusimamia uchaguzi kunabadilishaje maisha yako

Pambaneni muda wa kuingia kazini na kutoka uendane na majukumu yako si mtu siku hauna vipindi upo kazini, haupo on duty kazini unafika saa moja na nusu unatoka saa tisa na nusu huo ni umaskini, na ndio maana shida haziishi cause mda mwingi mmekaa tu staff mnapiga story akili zinalala

Yani Siku huna vipindi unaenda kazini ebu pambaneni mfanye shughuli nyingine ukiwa huna vipindi shule au umemaliza vipindi mapema ondoka kazini kafanye shughuli nyingine muache mwalimu wa zamu na mkuu wa shule na mtaluma wake wewe ondoka hivi ndio vyakufanya muandamane siyo kauli ya Lisu
 
Ndio maana mnadharauliwa yani muache a database kudai mslahi yenu CWT mnandamana kwa kauli ya Lisu si uhayawani huo, mna vitu vingi vyakuvipigania kwa maslahi yenu na familia zenu hivi kusimamia uchaguzi kunabadilishaje maisha yako

Pambaneni muda wa kuingia kazini na kutoka uendane na majukumu yako si mtu siku hauna vipindi upo kazini, haupo on duty kazini unafika saa moja na nusu unatoka saa tisa na nusu huo ni umaskini

Siku huna vipindi fanya shughuli nyingine, umemaliza vipindi mapema ondoka kazini kafanye shughuli nyingine muache mwalimu wa zamu na mkuu wa shule na mtaluma wake wewe ondoka hivi ndio vyakufanya muandamane siyo kauli ya Lisu
Kwani kama mwalimu hana kipindi unafikiri huwezi kusaidia wanafunzi ? Au unafikiri ualimu ni kuingia darasani tu?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale wapangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu walio ndani ya Chadema? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu, Bali hali hiyo itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo . Tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama ni kujidanganya Tu,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema, maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kikipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo Mahali ambapo hakuna ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake . kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani. Ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mliochukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Acha ujinga dada angu, wewe ni nani hadi usemee walimu?

Walimu hawataki upumbavu wenu, wewe ni chawa unajua nini kwenye maisha halisi ya walimu?
 
Ndio maana mnadharauliwa yani muache andamana kudai maslahi yenu CWT mnandamana kwa kauli ya Lisu si uhayawani huo, mna vitu vingi vyakuvipigania kwa maslahi yenu na familia zenu hivi kusimamia uchaguzi kunabadilishaje maisha yako

Pambaneni muda wa kuingia kazini na kutoka uendane na majukumu yako si mtu siku hauna vipindi upo kazini, haupo on duty kazini unafika saa moja na nusu unatoka saa tisa na nusu huo ni umaskini, na ndio maana shida haziishi cause mda mwingi mmekaa tu staff mnapiga story akili zinalala

Yani Siku huna vipindi unaenda kazini ebu pambaneni mfanye shughuli nyingine ukiwa huna vipindi shule au umemaliza vipindi mapema ondoka kazini kafanye shughuli nyingine muache mwalimu wa zamu na mkuu wa shule na mtaluma wake wewe ondoka hivi ndio vyakufanya muandamane siyo kauli ya Lisu
Kwani huyo ni mwalimu braza hadi akuumize kichwa?

Chawa wa Lumumba anajua nini, aache upumbavu wake na hasitake kuleta ujinga wake kwenye sensitive namna hii
 
Umeandika maneno mengi nimeshindwa kusoma ,natafuta point sioni.

Watanzania tujifunze kusamarize events.

Hakuna muda wa kusoma gazeti hilo.

Ungeandika mistari 5 tu ujumbe ungefika
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale wapangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu walio ndani ya Chadema? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu, Bali hali hiyo itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo . Tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama ni kujidanganya Tu,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema, maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kikipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo Mahali ambapo hakuna ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake . kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani. Ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mliochukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kama wewe ni mwalimu wewe ni kipututu kabisa.
Kazi ya Mwl ni kufundisha sio kusimamia uchaguzi, maslahi yenu yanapopiganiwa mnaona kama mnadhalilishwa , walimu wakiwa na mshahara mzuri, posho nzuri na kipato kizuri hatokimbilia kuomba au kuombwa kusimamia uchaguzi na kuelekezwa kuiba kura na kupewa vitisho.

Kwangu Mimi uchaguzi ungesimamiwa na jobless sio wafanyakazi wa Serikali
 
Kwani kama mwalimu hana kipindi unafikiri huwezi kusaidia wanafunzi ? Au unafikiri ualimu ni kuingia umeandaa andalio la somo, andalio la kazi

Kwani kama mwalimu hana kipindi unafikiri huwezi kusaidia wanafunzi ? Au unafikiri ualimu ni kuingia darasani tu?
Umeandaa andalio la somo, andalio la kazi, umeingia kipindi umefundisha, umetoa kazi kwa wanafunzi wamefanya, umesahisha, wewe siyo mwalimu wa darasa, siyo makamo mkuu wa shule, siyo mtaluma, siyo mkuu wa shule, yani SMT haupo, haupo zamu unakaa shule kufanya nini

Hapa ndio mnaferi unatakiwa ukimaliza vipindi ondoka Weka appointment ya kusolve issue ya mwanafunzi yani kama chuo kikuu tu mhadhiri unamuona chuo mda wa vipindi vyake na unamkuta ofisini kwake siku maalum aliyoipanga

Siyo nyie mnarundikana ofisini kutwa nzima at the end ndio mnaanza sengenyana, na mkistaafu hamjui mfanye nini cause ulizoee kukaaa kaa tu
 
Haki zao na madai yao walishalipwa na kutekelezewa na serikali yao. Na wale ambao bado wanaendelea kupewa kwa kadri taratibu zinavyokuwa zimekamilika na uhakiki wa madai yao unapokuwa umefanyika na kujiridhisha vizuri kuwa madai husika ni halali kwa mhusika ili kila mtu apate haki yake pasipo kuonewa.
Uhakika my foot!! Watu wapo kweny system miaka mingi mnaanza kuleta mamb ya uhakiki!! Kwann msifanye uhakiki wa mikataba mibovu? Shubaamiti!!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka jambo hadharani,huwa hawachuji kauli,huwa hawapimi athari ya maneno yao wala kujuwa waongee nini na wakati gani na wapi. Nilishasema ukiwa kiongozi wa ngazi ya juu hupaswi kuwa na mihemuko wala kukurupuka wala kuropoka wala kuongea kwa jazba au mserereko pasipo breki ya mdomo.

Sasa kauli ya Lissu Ambayo ni Msimamo na kauli ya CHADEMA nzima kuwa walimu hawapaswi kusimamia uchaguzi kwa kuwa ni waoga na wanaotishiwa na wakurugenzi wao imewaumiza sana walimu,imewafedhehesha sana,imewatoa machozi,imewasononesha sana walimu,imewaudhi sana ,imewakera na kuwasikitisha sana walimu wengi na familia zao ,ndugu ,jamaa ,marafiki na wale wote waliofundishwa na walimu na wanaotambua umuhimu na mchango wa walimu katika Taifa letu Tangia wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni mpaka pale tulipojikomboa na kuwa Taifa huru.

Walimu wanauliza wameikosea nini chadema mpaka ifikie hatua hiyo ya kuwadhalilisha kiasi hicho? Wametenda kosa gani kwao? Kwa nini wadhalilishwe kiasi hicho? Je walimu siyo watanzania? Hawana haki ya kupata fursa ya kushiriki katika uchaguzi? Je CHADEMA ikiingia madarakani si itawaangamiza? Si itawasurubu? Si itawabagua na kuwanyanyasa kama watumwa ndani ya Taifa lao? Walimu wanauliza kama chama hiki kinatangaza ubaguzi hadharani dhidi ya kundi hili kubwa la watumishi wa umma ,vipi kwa yale wapangayo sirini? Vipi kwa yale ambayo hatujui mipango na mikakati yao ya huko gizani? Nani atakuwa salama hawa watu wakipewa madaraka? Nani atakuwa huru ikiwa watu aina ya Lissu huwaona wale wasio waunga mkono kama wajinga , wapumbavu na wasio na akili?

Walimu wanauliza katika miaka yote ambayo CHADEMA ilikuwa na nguvu na ushawishi huko siku za nyuma kabla ya kupoteza Dira na muelekeo si ni hawa hawa walimu waliokuwa wanasimamia uchaguzi mpaka wabunge na madiwani wa Chadema wanashinda na kushika halmashauri kadhaa na uongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni? Si ni hawa hawa walimu walio simamia uchaguzi? Walimu wanauliza CHADEMA inatuma ujumbe gani kwa watanzania hasa walimu na familia zao,ndugu ,jamaa na marafiki wa walimu walio ndani ya Chadema? Inatuma ujumbe gani kwa viongozi waandamizi walio na Taaluma ya ualimu na wapo ndani ya CHADEMA? Wanatuma ujumbe gani kwa walimu waliokuwa wakiwaunga mkono chadema?

Ndio maana walimu haraka sana wameamua kupanga kufanya maandamano nchi nzima kupinga kauli hizi za kibaguzi kutoka Chadema,wanapanga kuwaambia watanzania kuwa waiogope CHADEMA kama ukoma kwa kuwa ni chama kisichofaa na kilicho na ubaguzi wa hali ya juu sana.wana panga kuwaambia watanzania kuwa chadema haitaishia kuwabagua walimu tu, Bali hali hiyo itaendelea na kwa wengine zaidi na zaidi,ikitoka kwa walimu hatujui ni kundi gani jingine linalokwenda kufuatiwa kutukanwa na chadema,kudhalilishwa na CHADEMA.

Rai yangu kwa watanzania tuwaunge mkono walimu wetu, tusimame nao,tuwape nguvu,tusikubali watukanwe na kudhalilishwa wakati tupo . Tukifikiri kuwa sisi tutabaki salama ni kujidanganya Tu,maana hatujui wakitoka kwa walimu wanakwenda kwa akina nani. Chadema ni wabaguzi sana ndio maana kwa sasa hata Salumu mwalimu yupo yupo tu chadema, maana wana mbagua na kumuona siyo mwenzao. Tuwaunge mkono walimu ambao wameapa kutowapa CHADEMA kura hata moja kwa uchaguzi wowote ule ambao wataweka mgombea wao katika ngazi yoyote ile.

Ndugu zangu Watanzania Tusikubali CHADEMA iendeleze ubaguzi na udhalilishaji huu kwa walimu wetu,tuipinge na kuikataa natuwaambie kuwa siyo siasa ambazo tunazihitaji hapa nchini. Tuwaambie ya kuwa Tuwaache walimu wetu wanaofanya kazi kwa kujituma ,kujitoa na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu wafanye kazi kwa amani pasipo kudhalilishwa. CHADEMA kiasili ni chama chenye ubaguzi mkubwa sana na sasa kimeanza kujionyesha Rangi zake halisia.kimeanza kuchomoa makucha yake ya ubaguzi ,kimeanza kuwaonyesha picha halisi watanzania kuwa kitaanza na nini na kufanya nini kikipewa madaraka,kimewaonyesha kuwa kazi yake ya kwanza itakuwa ni kuwaweka baadhi ya watu kama walimu katika mateso ya hali ya juu sana , kuwanyanyasa na kutowapa kipaombele wala kuwasikiliza kwa lolote.

Nawasihi walimu waliokuwa wamesalia ndani ya chadema wajitoe haraka sana ndani ya chama hicho kilichoonyesha ubaguzi na udhalilishaji mkubwa kwao,Anzeni kukipa mkono wa kwa heri,ingieni ndani ya CCM kwa kishindo Mahali ambapo hakuna ubaguzi wala unyanyasaji wala chuki na kundi lolote lile. Ndani ya CCM na Serikali yake huwezi ukaona mambo ya aibu ya namna hiyo yakitokea au kutendeka au kufanyika au kupangwa au kutamkwa hadharani.

Ndani ya CCM Ni haki na usawa kwa wanachama wote na wote tuna nafasi sawa na sote tunaishi kwa kupendana,kuheshimiana na kusaidiana .ndio maana ndani ya CCM mtu yeyote anaweza kupewa uongozi mkubwa ndani ya chama na serikali bila kujali kipato cha familia yake . kinachoangaliwa ndani ya CCM Ni uwezo wa mtu kiuongozi na kumudu majukumu ya kazi fulani. Ndani ya CCM tunagawana majukumu kulingana na uwezo wa mtu na siyo kugawana vyeo kwa misingi ya ubaguzi kama ilivyo kwa Chadema. Karibuni sana CCM walimu wote mliochukizwa na kauli hizi za maudhi kutoka ndani ya chadema.Njooni CCM Chama kilicho na uchungu nanyi na ndio maana kimekuwa kikiwapatia fursa mbalimbali pasipo ubaguzi wala chuki nanyi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Gazeti ila tunajua wewe ni wale wale akina Suphian Matravota
 
Uwe na adabu kwa walimu wetu wetu. Walimu ndio wanafanya kazi kubwa ya kufundisha watoto wote wa nchi hii tangia miaka na miaka ambao wengine sasa ni viongozi wakubwa ndani na nje ya Taifa letu.
Ukweli lazima usemwe, hakuna kusimamia uchaguzi, period, walim walikua wa zamani sio wa sasa wasiojitambua , kila may mosi ndo wa kwanza jaza uwanja, na wasipokuta nyongeza ya mshahara mishipa ya shingo huwavimba kama panya aliebanwa na mlango, pumbavu
 
Nakusihi sana acha dharau kwa walimu usije pata laana na kichaa
 
Hakuna kitu, wanatakiwa kujitambua ili waeshimike ,why kila vikazi vya ajabu wao wapo, na vijana wasio na hata mishahara wafanye nini? Ndo maana wanadhaulika

Yani kisa wameambia wasisimamie uchaguzi basi ndo wanataka kuandamana,

Why wasiandamane kwenye vitu vya msingi, mfano kikokotoo, viongozi wa chama chao kujiuzuru kutokana na kutotetewa katika maslahi yao.

Sasa wapewe heshima ya nini ,uchaguzi hakuna kusimamia tuna graduates wengi waombe nafasi kama izo
 
Kwani huyo ni mwalimu braza hadi akuumize kichwa?

Chawa wa Lumumba anajua nini, aache upumbavu wake na hasitake kuleta ujinga wake kwenye sensitive namna hii
Akili kama ya huyo Mshamba hawezi kuwa Mwalimu. Huyo akiwa mwalimu itakuwa laana kubwa kwa wale watakaofundishwa naye, maana watarithishwa upunguani badala ya maarifa.
 
Umeandika maneno mengi nimeshindwa kusoma ,natafuta point sioni.

Watanzania tujifunze kusamarize events.

Hakuna muda wa kusoma gazeti hilo.

Ungeandika mistari 5 tu ujumbe ungefika
Kusum up kunahitaji akili. Wewe unaona huyu Mshamba atakuwa na uwezo huo?
 
Back
Top Bottom