Elections 2010 Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM, mbona hawako vitani Igunga?

akihutubia mkutano wa hadhara.
A%255B1%255D.JPG


Heeeeeh! Mbona watoto wa shule za msingi? Hawa nao ni wapiga kura???
 
Imedhihirisha kuwa wale wanatuhumiwa bila kuwa na kosa lolote..

Na wapiganaji walikuwa wanatafuta vyeo kwa njia ya kupakaziana..

Bahati mbaya mkulu naye ameshindwa kuthibiti pressure ambazo zote ni illusion...

Waiting for their come back..
 
Hawa wapiganaji ndio chanzo kikuu cha vurugu zilizopi ccm nikiwa kama mwanachama hai wa ccm hili kundi la wapiganaji ni hovyo kabisa wanastahili kunyanganywa kadi
 
Imeandikwa Nape usiende Igunga utatuharibia uchaguzi, sembuse hao wapiganaji, wametumwa na nani? kwa sababu imarisha ufisadi ni latent (hiden) ajenda ndani ya Chama Cha Mafisadi(CCM)
 
akihutubia mkutano wa hadhara.
A%5B1%5D.JPG
Nepi asipo angalia hiki chama kita mfanya awe mwehu kabisa maana naona sasa hivi kama vile anaeigiza lakini anako kwenda ikosiku sasa hawa watoto na kujivua magamba kwao kuna wahusu nini maana watoto wenye hapo walipo wanajaa mbaya kabia hapo walipo wanasubiri hata agawe pipi kama navyofanyaga mwenyekiti wa CCM....
 
Na hata kutoa maoni ya khs kinachoendelea igunga, hawatoi...ila wata resume later...
 
Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM na wakawa ndio tumaini la CCM katika uvuaji magamba, je imetokea nini ? Mbona hawako Igunga kwenye uwanja wa mapambano na badala yake walioitwa mafisadi ndio wanatamba ? Naomba maoni ya wakereketwa humu ndani wanisaidie kulitatua hili fumbo, imekuaje hadi hawa wapiganaji hatuwasikii tena ?

View attachment 38028




attachment.php



Je wametupa silaha chini au yenyewe ndio magamba na sasa yamevuliwa ?
Mwakyembe Kimya kumbe alikuwa anataka uwaziri shenzi kabisa...
 
Lakini hata Lowassa na Chenge anayekijua vizuri Kisukuma hawako kule. Binafsi nakwazwa mno na mtu kufanyiwa kampeni badala ya yeye mwenyewe kufanya. Hii naifananisha na mtu kuchangiwa ili afanye harusi yake mwenyewe. Dalali kafunikwa kabisa na hawa ma-celebrity wa siasa za nchi hii.

Mkuu hii michango ya harusi naona imekukera sana, hii itakuwa mara ya tatu ama ya nne nakusoma ukiitaja hiyo michango ya harusi.

Siku hizi kwenye harusi unakwenda kula na kunywa kwa pesa yako uliyoitanguliza kwa jina la mchango, usiichuki
 
Hao wote watu wa maslahi.Unategemea nini kutoka kwao?Hawa ndio wanaweza kulinda haki ya Watanzania?????Inasikitisha sana.Tanzania baadaye itakuwa kama Nigeria.....
 
Amiliki nimependa sana avatar yako lol mpaka watoto wanapigiwa magoti hahahha kweli shida huleta maarifa,
 
Dawa ya mchawi mpe mtoto akulelea, mtoto atakuwa salama, ho wapiganaji uchwara wamezibwa midomo kwa kupewa uwaziri, unaibu na kelele zote kwisha, Ole sendeka na Kilango nao wananyenyekea huenda wakapata chochote , hii inaonyesha wazi kuwa wapiga kelele ndani ya CCM ni njaa tu,uchu wa madaraka hawana lolote.
Tanzania itakombolewa na umma wa watanzania kwa nguvu ya umma,walafi wa madaraka hawatatusaidia lolote.bahati nzuri Mungu humaliza mchezo wote hapahapa duniani na watu wakishuhudia,mfano Libya,aliyewaita wananchi Panya ndo kageuka panya buku sijui anakaa mapangoni kama Saddam. Mwisho wa CCM tutaushuhudia kwa macho yetu wenyewe.


We subiri tu mkuu,Sadam aligeuka buibui,Osama akageuzwa samaki,huyu naye Ghadafi tutajua punde,like wise Ze-magambazi.....Tutajua kama Ufisadi ndio Motto wa chama au la.....Maana waliambiwa hoja ya ufisadi mnadandia sio yenu wakasema CDM ndio wametuibia,sasa taraatibuuu ukweli unadhihiri kwamba haikuwa yao ndio maana Igunga wanatumika mafisadi na sio waliojidai kuupinga.CCM na UFISADI ni maziwa na tui la nazi
 
CCM ina jeshi kubwa, kwa nn watumie bunduki kumuua nzi ? walio enda igunga wanatosha kuwapakata CDM na kuwafanya watakavyo
You might think that you have made 'funny' writing but in reality you have made yourself laughable...who doesn't know the significance of this election in Igunga to both Chadema na CCM? Who doesn't know that it is a close call and ccm is using all that it has got to win?? Nzi can't be the representation of the opposition that chadema is giving to CCM in Igunga.
 
Hawa hawakwenda kwa kua itapingana na itikadi yao ya kutaka ccm iwe safi zaidi...yaani ccm kumkumbatia RA pale igunga inapingana na imani yao kisiasa... Walichoamua ni uamuzi wa busara kama hujui siasa inaweza kuonekana ni vinginevyo ila ni uamuzi ambao unawafanya wasionekane hawana msimamo au wanapinga msimamo wao wa kisiasa...kumbuka mtaji wao kisiasa ndani ya chama na kwa jamii unatokana na hii dhana ya kupinga ufisadi sasa kusimama jukwaa moja na RA wangejidhalilisha kisiasa.
 
Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM na wakawa ndio tumaini la CCM katika uvuaji magamba, je imetokea nini ? Mbona hawako Igunga kwenye uwanja wa mapambano na badala yake walioitwa mafisadi ndio wanatamba ? Naomba maoni ya wakereketwa humu ndani wanisaidie kulitatua hili fumbo, imekuaje hadi hawa wapiganaji hatuwasikii tena ?

View attachment 38028



attachment.php



Je wametupa silaha chini au yenyewe ndio magamba na sasa yamevuliwa ?

mtutu umewageukia wameingia mtegoni wenyewe!
 
Hawa hawakwenda kwa kua itapingana na itikadi yao ya kutaka ccm iwe safi zaidi...yaani ccm kumkumbatia RA pale igunga inapingana na imani yao kisiasa...
Acha kutoa utetezi wa kitoto, itakuwaje imani yao ya kisiasa ikawa tofauti na imani ya chama chao na kama unachosema ni kweli huko CCM wanafanya nini ? Huo utakuwa ni ulafi kwa kujali matumbo yao au unafiki kwa kutokuwa na msimamo unaoeleweka, period.
Walichoamua ni uamuzi wa busara kama hujui siasa inaweza kuonekana ni vinginevyo ila ni uamuzi ambao unawafanya wasionekane hawana msimamo au wanapinga msimamo wao wa kisiasa...
Grow up man, uamuzi wa kutokwenda Igunga haukuwa wao na kama kulikuwa na busara yoyote ile ni ya NEC ya CCM iliyowawekea mkwara wasikanyage Igunga wasije wakamkorofisha Rostamu, period. Huo msimamo wa kujifunika blanketi moja na hao unaodai ni mafisadi ni msimamo wa aina gani ?
kumbuka mtaji wao kisiasa ndani ya chama na kwa jamii unatokana na hii dhana ya kupinga ufisadi sasa kusimama jukwaa moja na RA wangejidhalilisha kisiasa.
Rubbish with a capital R ! Utakuwaje mtaji wao wa kisiasa ndani ya chama - chama kipi, hiki kinachompigia magoti Rostamu ? Ukishakua mshabiki wa CCM hata uwezo wako wa kufikiri ni kama vile umechakachuliwa. Vipi katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama aliyesimama jukwaa moja na Rostamu ? Vipi mweka hazina wa CCM Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mratibu wa kampeni kusimama jukwaa moja na Rostamu ? Mkama anadai katumwa na mwenyekiti wa CCM Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ndiye Raisi ikiwa na maana kwamba amemwakilisha katika kusimama na Rostamu. Labda useme kuwa hao wote niliowataja hawajidhalilishi kisiasa kwa kuwa ufisadi ni jadi yao na kama ni hivyo, Sitta, Mwakyembe, Nape, Sendeka, Kilango na wewe Mharakati mnafanya nini huko chama cha mafisadi ? Naomba jibu.
 
Hawa hawakwenda kwa kua itapingana na itikadi yao ya kutaka ccm iwe safi zaidi...yaani ccm kumkumbatia RA pale igunga inapingana na imani yao kisiasa... Walichoamua ni uamuzi wa busara kama hujui siasa inaweza kuonekana ni vinginevyo ila ni uamuzi ambao unawafanya wasionekane hawana msimamo au wanapinga msimamo wao wa kisiasa...kumbuka mtaji wao kisiasa ndani ya chama na kwa jamii unatokana na hii dhana ya kupinga ufisadi sasa kusimama jukwaa moja na RA wangejidhalilisha kisiasa.

Ndiyo utetezi wenu siyo??? Sasa mnasubiri nini huko kwenye chama ambacho kinafanya mambo yanayopingana na imani yenu kisiasa???? Hamna lolote nyie na RA amewathibitishia kwamba yeye ni kidume kweli kweli huko CCM. Andikeni maumivu tu No more free airtyme. You have just become part of the history na ni vema tumewagundua mapemaaaaa!!!!!! Ebo! mwenye CCM alishawaambia CCM si mama yake sasa nyie kinachowafanya muin'gang'anie ni nini kama sio utapeli??
 
Igunga ni ya rostam kwa hiyo kama rostam aliona nape na wenzake walimtukana basi ametoa mashariti kuwa waliomtukana wasifike vinginevyo hatashiriki. Ccm wanakete chache za kucheza njia zote walizobaki nazo si salama. Hii ya kutokwenda inwapa unafuu maana wapiga kura wote ni warostamu walishalipwa kitambo kwa hiyo akiwaambi apigieni cdm watafanya hivyo.
Unique
 
Yaani mkuu ni vichekesho, sijui wapiganaji gani huwa wanauogopa uwanja wa Vita, yaani hii Igunga imewaondolea kabisa japo kale kaheshima kidogo walikojenga kwa baadhi ya watanzania. RA kweli kidume huko CCM hauna sijui Nape, Mwakyembe Sitta, Killango wote wamefyata kimyaaaaaaaaa!!!!

we unaongea kwa taarifa ama ushabiki? Unadhani kwenda kwenye hizo kampeni ni sawa na kwenda msalani? Hata msalani lazima ubishe hodi kwanza. Chama hakiwataki kule kwa kuwa hakitaki kusikia kauli za magamba na ufisadi, KWA KIPINDI HIKI CHA KAMPENI. Hiyo ndio ccm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom